Miss Tanzania 2006/2007 Wema Sepetu ameiomba Wizara ya Sayansi na Teknolojia kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ( TCRA ) kumsaka mtu aliyetengeneza picha chafu ya mama yake mzazi, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii…
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema anaamini kuwa TCRA wanao uwezo wa kumbaini mtu huyo ambaye bado hajamfahamu ili sheria iweze kuchukua mkondo wake kwani amemdhalilisha mzazi wake bila sababu yoyote….
“Nafanya utaratibu wa kwenda TCRA ili wamsake aliyefanya kitendo hicho kwani uwezo huo wanao,” alisema Wema
Mrembo huyo alisema serikali isisubiri mpaka tukio hilo limkute kiongozi wa serikali ndo waanze kuhaha kwani tabia hiyo inaonekana kuota mizizi baada ya hivi karibuni kufanyiwa hivyo wabunge.
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a statutory regulatory body responsible for regulating the communications and broadcasting sectors in Tanzania.