Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

I Need a Tanzanian Matured Man to Love Me

Mambo! Mimi ni binti,umri wangu ni miaka Ishirini na tano,mrefu,mweusi na mwembamba ni mkristo pia,elimu yangu ni chuo kikuu na ni mfanyakazi. Lengo langu hapa natafuta mwanaume,wa kuanza naye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dudu Baya Akanusha Kutishia Kumkata Masikio Mpenzi Wake

Rapper Godfrey Tumaini aka Dudu Baya amekanusha taarifa zinazosambazwa na mpenzi wake kuwa anamtishia kumkata masikio pamoja na kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kijana anayetambulika kwa jina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Must Read: Barua ya Emmanuel Mbasha ikieleza jinsi Mkewe Anavyochepuka na...

Muimbaji wa muziki wa injili na mfanyabiashara, Emmanuel Mbasha anayetuhumia kumbaka shemeji yake, ameandika barua ndefu kwa mchungaji maarufu nchini, Gwajima anayemtuhumu kuwa na uhusiano wa kimapenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Amchoma Kisu na Kumuua Mwalimu Mbele ya Wanafunzi Wake

Mwanamke mmoja ameripotiwa kumchoma kisu na kumuua mwalimu wa kike wa shule ya msingi mbele ya wanafunzi wake katika mji wa Albi ulio kusini mwa Ufaransa.Muendesha Mashtaka wa Albi, Claude Derens...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA akimbilia TCRA kumsaka mtu aliyetengeneza Picha Chafu ya Mama yake Mzazi

Miss  Tanzania  2006/2007  Wema  Sepetu  ameiomba  Wizara  ya  Sayansi  na  Teknolojia  kupitia  Mamlaka  ya  Mawasiliano  Tanzania  ( TCRA )   kumsaka  mtu  aliyetengeneza  picha   chafu  ya    mama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kibaka Atundikwa Juu ya Mti baada ya Kunaswa Akiiba Funguo za Daladala Gereji...

Kijana mmoja  ambaye hakujulikana jina   mara  moja   amejikuta  akionja  machungu  ya  hasira  za  wananchi  baada  ya  kutundikwa  mtini  na  kuning’inizwa  akituhumiwa  kukwapua  funguo  za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAJALA Akana Tuhuma za Kuchepuka Ovyo Ovyo

BAADA ya kuzagaa kwa taarifa mbalimbali kwamba mwigizaji wa Bongo, Kajala Masanja anachepuka nje, ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli wowote.Mitandao mbalimbali ya kijamii imekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema, Mama Yake Kuwasomea ALBADILI Waliosambaza Picha Chafu

SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu, wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha Albadili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Daraja Laua na Kujeruhi Katika Mji yanapofanyika Mashindano ya Kombe la Dunia

Watu wawili wanaripotiwa kufa na 22 wamejeruhiwa baada ya daraja linalopita juu ya barabara kuvunjika katika mji wa Belo Horizonte ambako baadhi ya mechi za kombe la dunia zinafanyika.Daraja hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utafanya Nini Ukimfumania Mpenzi Wako Katika Hali Kama Hii?

Kila Mtu anajua Kutendwa katika Mapenzi ni Jambo Linalouma Sana kupita maelezo yahitaji moyo wa ziada kuvumilia ..Je endapo ikakutokea ukamfumania mke ama mume akiwa katika hali hiyo hapo juu nini cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za Kutisha za Sheikh wa Arusha Aliyelipuliwa Bomu Wakati Akila Daku

Sheikh wa Msikiti wa Qiblatan,Sood Ally Sood (37) uliopo Kilombero jijini hapa amejeruhiwa kwa bomu la kurushwa kwa mkono alipokuwa akila daku nyumbani usiku wa kuamkia jana.Pamoja na Sheikh Sood, mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA Imehama Kwenye Reli, Imebaki Kuishambulia ACT Badala ya CCM....

Kwa lugha rahisi ya sasa hivi ni kwamba chadema imechepuka na mchepuko wake ni ACT. Nakihurumia sana hiki chama. Makada wake wanatumia muda mwingi sana kuishambulia ACT na viongozi wake huku wakiacha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto Aliyezaliwa na Miguu Mitatu Anayetarajia Kufanyiwa Upasuaji.

Mtoto mdogo ambaye amezaliwa na miguu mitatu amesafirishwa kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji kuondoa miguu miwiliAna Paula mwenye miezi 22 alikuwa ni pacha aliyeungana ambapo dada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hiki Ndicho Kitu Kikubwa Atakachofanya Diamond siku ya Birthday ya Mama Yake.

Mama yake Diamond amezaliwa tarehe 7/7 na siku hiyo Diamond amepanga kufanya kitu kikubwa akiwa  anasherekea. Mwaka huu anafanya kitu ambacho hadi mashabiki zake watafurahia siku hiyo na hii ni nafasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Slaa: Rais Kikwete ana Rungu la Katiba Mpya Sio Maaskofu wala Taasisi

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kutafuta suluhu ya kupata mwafaka wa mchakato wa Katiba Mpya kwa kuwa hakuna mamlaka nyingine zaidi inayoweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vanessa Mdee Adai Aliachia ‘Hawajui’ Baada ya Baadhi ya Watu Kuponda Ushindi...

Vanessa Mdee amesema aliachia wimbo wake ‘Hawajui’ ulioandikwa na Barnaba baada ya baadhi ya watu kudai hakustahili kushinda tuzo ya wimbo bora wa rnb (Closer) kwenye tuzo za Kili mwaka huu.Vee Money...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Is Diamond Platnumz’s success a superstitious yield?

By Haji Said (Twitter: @Despicabledude)Within the last couple of years, we have witnessed some Tanzanian artists transitioning before our very eyes into becoming regional and global superstars. Diamond...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFISADI Mwinge: Magufuli Awajia Juu Maofisa Tanroads

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewajia juu maofisa wa Wakala wa Barabara (Tanroads) mkoani Mwanza baada ya kubaini wanataka kulipa fidia ya zaidi ya Sh100 milioni kutokana na uamuzi wao wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zambi: Serikali Mbili ni Maagizo ya Jakaya Kikwete

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi amefichua sababu za chama hicho kushikilia msimamo wa muundo wa serikali mbili katika mjadala wa Katiba Mpya, akisema ni “maagizo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiongozi wa CHADEMA kanda ya Magaharibi Ashambuliwa

WATU wasiojulikana wamemvamia na kumpiga pamoja na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia vitu vyenye ncha kali Makamu Mwenyekiti wa uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>