Bi dada huyu amekuwa akiposti bidhaa zake kwenye account ya Insta inayoitwa @hollywoodshopaholics anazodai anaziproduce yeye na kuziwekea price tag za madolare ya maana. Kumbe bwana sio bidhaa zake, bidhaa hizo ni za trebellawigs.
Amekamatwa live na ameshtakiwa insta na product alizoiba zimeondolewa na insta admn. Anachofanya ni kuchukua picha ya product na kufuta trademark ya Bela na kuweka hiyo ya hollywood sijui holic kwenye bidhaa za watu.
Jisomee Hapo chini:
Baada ya Kichambo hicho account hiyo ya Hollywoodshopaholics Ambayo inamilikiwa na Mange ilijitetea hivi kwa wateja wake:
Quote of The Day: “The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”