Prof Baregu mulimtukana sana kwa matusi ya wazi kabisa pale alipotoa ya moyoni juu ya mwelekeo wa chadema na siasa zake! Mlimshambulia huyu Mwl wangu na roho iliniuma sana kwa maana namjua msimamo wake!
Vijana wa Bavicha mulimvua nguo huyu Mzee wa watu na Kama kawaida yenu mulimuita Msaliti! Leo hii mnakaa mnasema uzee dawa? Haya maneno yanatoka moyoni au? Poleni sana!
Hivi ni yupi ambae hamjawahi kumuita msaliti ndani ya chama chenu? Mbowe alipompigia Magoti JK kumshukuru kwa kazi nzuri yaani mulimporomoshea mitusi ati msaliti mkubwa ndani ya chama!
Kazi mmnayo nyie kwenu kila mtu akinena baya basi ni msaliti ndani ya chama!
Swali, ni nani hamjawahi kumuita Msaliti ndani ya Chadema?