MAUSTADHI Watembeza Kichapo cha Mbwa Mwizi kwa Makahaba Wanaojiuza Kipindi...
MAUSTADH jijini Dar es Salaam wamefikia uamuzi mzito wa kutembeza bakora kwenye vijiwe korofi vya warembo wanaojishughulisha na biashara haramu ya kuuza miili almaarufu kama machangudoa au machangu kwa...
View ArticleTarajia Kumuona VJ Penny Kama Mtangazaji Kwenye Show Kubwa ya TV
Mambo yanazidi kumnyookea Ex wa Diamond Platnumz, Penniel Mungilwa aka VJ Penny kwakuwa licha ya kuvishwa pete na kumponya kidonda alichoachiwa na hitmaker huyo, ameendelea kupata deals baada ya deals....
View ArticleMwanamuzi Bob Junior Naye Afikiria Kutembelea Nyota ya Diamond Platnumz
Msanii wa muziki na producer, Bob Junior amesema kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kolabo na msanii aliyemtoa, Diamond Platnumz.Akizungumza na Bongo5, Bob Junior aliyetayarisha nyimbo za Diamond...
View ArticleMrembo Huddah Monroe Azidi Kutafuta Kick Kwa Kutupia Picha za Utupu Mtandaoni
Kwa Kile Kinachoonekana Mchuano mkubwa wa warembo wenye umaarufu Kenya kupitia maumbo yao mrembo huddah Monroe wa Kenya ambae siku za nyuma alikuwa Gumzo katika Mitandao Ameamua Kutupia Picha akiwa...
View ArticleUchambuzi: ‘Kwenu Vipi’ ya Stamina na Nay wa Mitego ni ‘Part 2′ ya ‘Muziki Gani’
Muziki Gani ya Nay wa Mitego na Diamond Platnumz iliwakilisha majibizano kati ya wasanii wanaofanya hip hop na wale wanaofanya Bongo Flava. Lakini kwakuwa majibizano kama hayo yanaendelea kila siku...
View ArticleBaada ya Ajali ya Malaysia Airline…Hii ni Taarifa ya Ndege Nyingine Kutoka...
Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiyo ambayo ilikuwa imebeba wanajeshi 6 wa Marekani wakitoka...
View ArticleAlichoandika Peter wa P Square Baada ya Kuipotezea Harusi ya Kaka Yake.
Kama kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana kwamba wamemaliza tofauti zao lakini baada ya Peter kupotezea...
View ArticleHivi Chadema nani Kwenu hajawahi Kuitwa Msaliti?
Prof Baregu mulimtukana sana kwa matusi ya wazi kabisa pale alipotoa ya moyoni juu ya mwelekeo wa chadema na siasa zake! Mlimshambulia huyu Mwl wangu na roho iliniuma sana kwa maana namjua msimamo...
View ArticleKuna Siri Gani Wanawake (Wasichana Wengi) Kuwapenda Wanaume za Watu?
Hili suala najiuliza sana hivi inakuaje?au ni justification ya ule usemi ,"Raha ya mwanaume muwe watano"? Kwa My experience rafiki zangu wengi sana ambao wameoa inakua rahisi sana kuopoa msichana bomba...
View ArticleTapeli Lililojidai Kishoka wa Tanesco Ladakwa Live Mlimani City
TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja...
View ArticleUkikutana na Mwanamke wa Aina Hii Ukaingia Naye Mapenzini na Kuoa Basi Unalo
Kuna mdada mmoja nilisoma naye chuo miaka fulani hapo nyuma, sasa jana katika pilikapilika zangu mjini, tukakutana ghafla maeneo fulani, kwa hiyo tukaanza kusalimiana na tukaona ni vizuri tusogee...
View ArticleKahaba wa Kitanzania Aeleza Alivyosambaza UKIMWI
MWANAMKE mmoja wa Kitanzania aliyefanya ukabaha kwa miaka 18 katika miji mbalimbali ya Tanzania, likiwemo Jiji Kuu la kibiashara la Dar es Salaam na mingine ya Namibia, ameibuka na kueleza jinsi...
View ArticleUongozi YANGA wamchana Ridhiwani KIKWETE…wadai sio Mwanachama wao
Uongozi wa Yanga umesema Mwenyekiti wa Kamati ya ujezi wa jengo la Mafia, Ridhiwani Kikwete siyo mwanachama wa klabu hiyo kwa kuwa hajalipa ada yake kwa miezi sita mfululizo.Katika taarifa yake...
View ArticleRose Ndauka na Charlz Baba "BIFU" Zito
Ni dhahiri kuwa sasa , staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘ Chaz Baba ’ wapo kwenye bifu zito. Habari kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa ,...
View ArticleFlorah Mbasha na Mumewe "NGOMA NZITO"
Imebainika kwamba waimbaji wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha hawajapatana kama ilivyodaiwa awali na taarifa zinasema kuwa mwanadada huyo ameanza maisha yake kivyake...
View ArticleSakata la Flora Mbasha kunasa Mimba Gwajima Akimbia Nchi…Waumini Sasa...
Kufuatia sakata la Flora Mbasha na mumewe likumuhusisha moja moja kiongozi wa kiroho Mchungaji Gwajima, habari tulizozipata ni kwamba mchungaji huyo amekimbia nchi….Habari toka...
View ArticleAunt Ezekiel: Sijawahi kumvulia Chupi Diamond na Sifikirii Kumtongoza
Wakati ikidaiwa kuwa mwanadada Aunt Ezekiel anamzunguka Wema Sepetu na kula Penzi la shemeji yake Diamond, sasa ameamua kufunguka na kudai kuwa kamwe hawezi kumsaliti Wema na...
View ArticleMr. Tanzania Adata na penzi la Jack Wolper
Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika picha za msanii maarufu wa filamu, Jackline...
View Article“Hata kama ni Mwezi wa Ramadhani, Haki ya Tendo la Ndoa lazima Nipewe”….Mume...
Mume wa mcheza filamu za kibongo Jack Pantezel, Gadna Dibibi amesema kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ni haki kwake kufanya jambo lolote kwa mke wake kwani wao ni wanandoa,...
View ArticleMuigizaji wa The Vampire Diaries aliyemtumia rais Obama Barua yenye sumu...
Muigizaji wa kike maarufu, Shannon Guess Richardson, jana (July 18) amehukumiwa kifungwa cha miaka 18 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumtumia rais wa Marekani Barack Obama barua yenye sumu.Muigizaji...
View Article