Kama umemiss kuhusu kazi za Ali Kiba basi hii post inakuhusu. Ali Kiba baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ahatimaye ametangaza kutoa wimbo mpya tarehe 25/7 ambapo zimebaki siku 3 kuanzia leo tarehe 22/7. Je Unahisi Itakuwa Kali Kushinda zile alizotoa Diamond Siku kadhaa?