Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri...
View ArticleDiamond Platnumz Amchana Ali Kiba Kupitia Instagram
Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo...
View ArticleKajala Afunguka Kuhusu Tetesi Kuwa Anatoka Kimapenzi na Mtangazaji wa Clouds FM
Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi...
View ArticleNdoa ya Jay Z na Beyonce matatani tena, hiki ni kipya kilichotokea
Drama ya talaka ya Jay Z na Beyonce imeingia hatua mpya kutokana na ripoti kuwa Bey aliwafukuza mashabiki wa kike walioingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha mume wake wakati wa ziara yao, On...
View ArticleWema Sepetu:Diamond Platnumz Amenivalisha Pete ya Ndoa, Tukio Lafanyika Kwa...
SAPRAIZ! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikidaiwa kuwa amevalishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa siri kubwa,...
View ArticleRiyama Ally Afunguka Asema Mchumba Anaye Lakini.....
Stori: Jamila SaidSTAA aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally amesema licha ya kuwa ana mchumba lakini hayupo tayari kuolewa kwa sasa.Akizungumza na mwanahabari wetu, Riyama alisema hahitaji...
View ArticleWatu Wengine 4 Wauawa Mombasa Kwa Risasi
Watu wenye bunduki waliokuwa kwenye pikipiki wamewaua takriban watu wanne katika mji ulioko pwani ya Kenya Mombasa.Polisi inasema watu hao walikuwa wakifyatua ovyo risasi kwa wapita njia.Mji huo wa...
View ArticleSugu 'Nitaendelea Kupigana Bungeni Kama CCM itaendelea Kunisakama...
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi maarufu kama 'SUGU' amesema ataendelea kupiga mtu ngumi bungeni kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kumsakama wakati akiwakilisha matatizo ya...
View ArticleOmmy Dimpoz Aingilia Ugomvi wa Diamond na Ali Kiba
Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo...
View ArticleMaiti na Viungo vya Binadamu Vyakamatwa Kwenye Mifuko ya Rambo Maeneo ya...
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.Endelea kufuatilia hapa.
View ArticleKanye na Kim K watumia zaidi ya milioni 830 kukodi mtoto anaefanana na North...
Familia ya Kanye West na Kim Kardashian imeripotiwa kutumia $500,000 (zaidi ya milioni 830 za Tanzania) kumkodi mtoto mwenye mwili unafanana na mtoto wao North West (body double) kwa lengo la kuwakwepa...
View ArticleBeyonce awatimua warembo walioingia kwenye chumba cha Jay Z, awaita 'mende'
Mambo bado magumu kwa ndoa ya Jay Z na Beyonce na tetesi za uchepukaji wa Jay Z zinazoripotiwa zinazidi kumfanya Beyonce awachukie warembo wote wanaomsogelea mumewe huyo anaedaiwa kuwa na kisu kikali...
View ArticleMtoto mwenye umri wa miezi saba amelawitiwa na baba yake mzazi.
Mtoto huyo alifikishwa Hospitali ya Amana katikati ya wiki iliyopita kwa maelezo kuwa ana maradhi ya kuharisha, lakini baada ya madaktari kumfanyia uchunguzi walibaini kuwa mtoto hakuwa na ugonjwa wa...
View ArticleShinda milioni moja cash kutoka kwa Diamond kwa kufanya hivi
Haya ni maneno ya Diamond akitangaza kitu ambacho ukikifanya unaweza kujishindia milioni moja cash. Soma hapa na kama lipo ndani ya uwezo wako fanya ujishindia pesa kutoka kwa Diamond.
View ArticleAli Kiba Aamka Kutoka Katika Usingizi Mzito ..Umemiss kazi za Ali Kiba?…Basi...
Kama umemiss kuhusu kazi za Ali Kiba basi hii post inakuhusu. Ali Kiba baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ahatimaye ametangaza kutoa wimbo mpya tarehe 25/7 ambapo zimebaki siku 3 kuanzia leo tarehe...
View ArticleMsichana wa Kitanzania Aliye Pelekwa China na Kufanyishwa Kazi ya Umalaya...
Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawi la Tanzania, limemhoji kwa saa kumi na moja binti aliyerubuniwa na kupelekwa China ambako kwa miezi mitatu alikuwa akitumikishwa kwenye madanguro nchini...
View ArticlePicha za Utupu za Irene Uwoya Zilizosambaa Instagram leo Hii
Leo kupitia page yake ya INSTAGRAM mwanadada IRENE UWOYA ametupia picha za hatari akiwa hana nguo ya juu yaani TopLess na kuandiaka" Unajua dada we nimke wamtuuu usifanye hvyooo...we ndoulinifungisha...
View ArticleAlex Massawe Awatoroka Polisi, Ala Kona Dubai
UONGOZZI mpya wa Jeshi la Polisi Tanzania chini ya IGP Ernest Mangu umesema unafuatilia kwa karibu nyendo za mfanyabiashara, Alex Massawe ili akamatwe na kumrejesha Bongo kukabiliana na kesi ya mauaji...
View ArticleKusitishwa Matangazo Kipindi cha XXL Cha Clouds FM na TCRA
Mamlaka ya Mawasiliani Tanzania (TCRA) imesitisha matangazo ya kipindicha XXL kinachorushwa na CLOUDS FM ,kupisha uchuguzi wa tuhuma za ukiukwajiwa kanuni za utangazaji zilizofanywa na watangazaji wake...
View ArticleUrais 2015: January Makamba Moto wa Kuotea Mbali
Ni kijana, Mzalendo, ana Uwezo, Muadilifu, ana malengo. sikuwa nikiyajua haya. hebu soma mwenyewe ujionee. Nimependezwa sana na namna alivyoweza kujielezea humu. 5 Years at State House The campaign...
View Article