Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109490

Wadada: Wanaume Warefu Wanajisikia na Wana Dharau Sana Kwenye Swala la Mahusiano

$
0
0
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.

Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu Tujadili Kama Kuna Ukweli wowote wa Jambo Hili.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109490

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>