Chagga Barbie Aposti Video ya Makalio yake, Yaangalie Hapa Anavyoyatingisha
Siku hizi Kiki zinatafutwa kwa Nguvu Jamani ..She shares this video on her INSTAGRAM PAGE!!!!...See that Massive ASSET she has!!!
View ArticleMsikilize Kamanda wa Polisi Kinondoni Akitoa Ufafanuzi Tukilo la Kutupwa...
Mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii kuanzia usiku wa July 21 kulisambaa taarifa na picha zinazoonyesha viungo mbalimbali vya binadamu ambavyo vilitupwa katika daraja la Mpiji.Kamanda wa Polisi mkoa wa...
View ArticleMwanamke: Usafi wa 'Maakuli' Muhimu, Kitu Kinanuka Kama Panya Kafia Humo...!
Nimekuwa na mpenzi wangu takribani mwaka mmoja sasa na mapenzi yetu yamekuwa mazuri bila ugomvi wa mara kwa mara.Tatizo la mpenzi wangu ni kutoa harufu kali na tutoa utoko mweupe wakati tukiwa...
View ArticleMan City waingilia mazungumzo ya Chelsea na Drogba
Mabingwa wa soka nchini Uingereza Man City, wameingia kati mazungumzo ya mshambuliaji kutoka nchini Ivory Coast, Didier Drogba ambaye kutwa nzima ya jana alikuwa anapewa nafasi kubwa ya kurejea kwenye...
View ArticleUmemuona yule Model wa Video ya Ice Cream Alivyobadilika Baada ya Kupata...
Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na foundation yake walimchukua na kumpeleka kupata matibabu.Hivi sasa Ray...
View ArticleWahusika Waliotupa Vipande vya Miili ya Binadamu Bunju Wajulikana
Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzikumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi...
View ArticleWanane Mbaroni Sakata la Vipande vya Miili ya Binadamu iliyotupwa Bunju
Watu wanane wanashikiliwa na polisi wakiwemo Madaktari kwa tuhuma za kuhusika kwenye tukio l a kutupwa kwa mabaki ya miili ya binadamu jana jioni nje kidogo ya jiji la DsmHuku likiendelea na uchunguzi...
View ArticleAunt Ezekiel: Filamu Hazilipi Kabisa, Sapoti ya Waume au Wapenzi Ndio...
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika.“Filamu kwa...
View ArticleTazama Picha za Lunch Party ya Kajala Kwa Ajili ya Birthday yake ilivyokuwa...
Tazama picha za lunch ya mwanadada Kajala ilivyokuwa leo kwenye birthday yake.
View ArticleBaby Madaha:Shilole anatafuta kiki kupitia jina langu, kwanza si hadhi yangu....
Stori: Gladness MallyaMTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe.Awali katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby...
View ArticleWavuta Bangi na Watumia Unga Waiwinda Roho ya RAY C
Wiki za hivi karibuni mwanamuziki wa bongo fleva ambaye pia ni mwanaharakati wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya Rehema Chamila ‘Ray C’ amepatwa na misukosuko mingi ambayo...
View ArticleWema Sepetu: Ugonjwa wa Ngozi Umeniharibu
MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka.Akizungumza kwa huzuni, Wema alisema...
View ArticleKumbe Utamu wa Mwanamke Unaweza Kusababisha Kifo Ndani ya 6x6
AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA UTAMU WA MAPENZI.Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.Gazeti la Daily...
View ArticleTiba na Kinga ya Ukimwi Vyanukia
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti...
View ArticleSiri Utupaji Viungo vya Maiti Yabainika
Wakati ikibainika kuwa viungo vya miili ya binadamu vilivyookotwa juzi katika Bonde la Mto Mpiji nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam vilitoka katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia...
View ArticleKama Ulisikia au Kusoma Udaku Kwamba Mama Diamond na Wema Hawapatani Hii...
Najua kuna stori nyingine huwa zinaandikwa alafu wahusika wakuu wanakuja kuziongelea baadae kwa kushangaa kilichoandikwa ambacho mara nyingi kinakua sio cha kweli.Stori ya Wema kutopatana na ‘mama...
View ArticleKilichoendelea Kesi ya Mbasha Mahakamani July 23 2014, Kakubali Sentensi...
KESI ya ubakaji inayomkabili mume wa Flora Mbasha ambae ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania Emmanuel Mbasha (32), ilitajwa tena July 23 2014 katika mahakama ya wilaya ya Ilala ambapo...
View ArticlePinda: UKAWA Njooni Tuombane Msamaha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ‘amewaangukia’ wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutoendelea na msimamo wao, badala yake wakutane ili atakayebainika kuteleza...
View ArticleWadada: Wanaume Warefu Wanajisikia na Wana Dharau Sana Kwenye Swala la Mahusiano
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana...
View ArticleKifo Cha Mke wa Askari Aliyefia Chumbani Kwa Dereva wa Bodaboda Utata
Wingu zito limegubika kifo cha mke wa askari polisi wa wilayani Mwanga, Kilimanjaro aliyefia chumbani kwa dereva wa bodaboda. Uchunguzi wa awali wa polisi unadai kuwa mwanamke huyo alilala chumbani...
View Article