$ 0 0 Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande.Nani kala 10% hapo?