Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ali Kiba, Diamond Wafika Pabaya..Chanzo cha Ugomvi Wao Hiki Hapa

Na Sifael PaulHatimaye! Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokeo ya Tuzo za AFRIMMA 2014 Alizokua Anawania Diamond Marekani

Wanaziita African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Diamond wa Tanzania ambae pia alikua mmoja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuhuma za Mke wa Mbunge Kumuua Mfanyakazi wa Ndani: Mbunge Cyril Chami Atoa...

Mimi Dr Cyril August Chami, Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM) napenda kueleza masikitiko yangu kwa taarifa za uzushi na za kutunga kuwa eti mke wangu asiye na jina amemuua mfanyakazi wetu Mwislamu kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr Slaa: Sina Mpango wa kugombea Urais 2015

DK. Willbroad Slaa "Sifikirii kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka, kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Barabara ya Lami Mabatini, Kijitonyama Haina Hata Mwaka, Nani Kala 10%?

Barabara hii inayopita karibu na kituo cha Polisi Kijitonyama, maarufu kama Mabatini, haina hata mwaka imeanza kumeguka vipande vipande.Nani kala 10% hapo?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond na Lady Jay Dee Waitoa Kimaso Maso Tanzania Tuzo za AFRIMMA 2014

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameendelea kufanya vizuri katika tasnia ya muziki ndani na nje ya nchi baada ya kutwaa tuzo ya AFRIMMA 2014 ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya Kesi za Kusambaza Picha za Utupu, Kuuza Binadamu, Vitisho,...

Huu unaweza sio mwaka mzuri kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto’o, baada ya timu yake ya taifa kufanya vibaya kwenye michuano ya kombe la dunia, na akiwa hana timu ya klabu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Manager wa Ney wa mitego ashangazwa na utajiri wa Ney.

Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa manager wa ney amesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukweli wa idadi ya Tuzo Alizoshinda Diamond AFRIMMA Jana Usiku

Habari zenu ndugu ,wakubwa na wadogonataka niweke sawa kuhusu utata uliozuka kuwa diamond kashindatuzo ngapi,kwenye AFRIMMA,ameshindatuzo mbili, mwanamziki bora East Afrika na Number 1 Remix ikishinda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Message To Ally Kiba..Hii Mwana Sijui Dsm Umepanick..Diamond Alipo...

Ukweli unauma...nasema hivi Talent pekeee haitoshi bila kujipanga...nikiwa kama shabiki wa Ali kiba,huu wimbo wa mwana kachemka..watanzania tuwe wakweli na sio watu wakurupuka tu..Kiba ana vocal za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Kuhusu Watanzania Walioshikwa Kenya Kwenye Harakati za Kujiunga na Al...

Wanajeshi wa kupambana na ugaidi nchini Kenya (ATPU) wanawashikilia raia watatu wa Tanzania waliokamatwa wakijaribu kuvuka mpaka wa Somalia na Kenya ili kujiunga na kikundi cha kigaidi cha Al...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mastaa wa Bongo Wasusia Arobaini ya Marehemu George Tyson

Jamani! Katika hali ya kushangaza, mastaa wa filamu Bongo wamesusia kumbukumbu ya siku 40 ya aliyekuwa muongozaji maarufu wa filamu nchini, George Otieno ‘Tyson’ aliyefariki dunia kwa ajali Mei 31,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Johari Akanusha Tuhuma za Kubatizwa Mara Mbili Kanisani

MKONGWE wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kubatizwa juzikati katika Kanisa Katoliki Nyalikungu wilayani Maswa, Simiyu lakini mwenyewe amekanusha.Chanzo makini kilichodai kushuhudia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miaka Sita ya Mahusiano na Sioni Dalili ya Ndoa…Nifanyeje?

Mimi ni msichana wa umri wa miaka 19. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja  kwa muda wa miaka sita sasa.Isitoshe sisi ni majirani wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBA MPYA: Wassira, Lipumba, Lissu ‘Wanyukana Live’

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uhusiano na Uratibu, Stephen Wassira akiwakilisha CCM, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, jana walitoana jasho katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA Imepoteza Ushawishi Kwa Watanzania

Kadri siku zinavyosonga chadema nayo inasonga kuelekea kaburini. Ilianza kwa kasi kama nguvu ya soda, ikatingisha, ikavuma,ikapendwa sana, ghafla ikafifia, ikasinyaa ikayumba ikapoteza kabisa umaarufu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VICKY KAMATA Ajisalimisha Kanisani Kusafisha Nyota ya Mapenzi na Ndoa...

Msanii wa muziki na mbunge wa viti maalum wa jimbo la Geita kupitia CCM Vicky Kamata amejisalimisha kuombewa kanisa la EAGT kata ya Kalangalala wilaya ya Geita mkoani Geita ili kuondoa mikosi ya ndoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mrembo wa Kenya Huddah Monroe Atangaza Kumzimikia Ali Kiba

Udaku kutoka INSTAGRAM: Huddah Monroe Wa Kenya elezea hisia zake kuhusu .... Ali Kiba..Eti Anasauti Ya Kumtoa ...Pangoni....Soma alivyoandika..Then Niambie Ungekuwa Wewe Ndio Alikiba Unge Mfanyanini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtuhumiwa Amng’ata Mdomo Askari

KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.Tukio hilo lilitokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nani Mkali kati ya Diamond na Ali Kiba? Wachezaji na Kocha wa Simba wabishana

Mjadala uliopo kwenye mitaa na baadhi ya maskani za watu wengi japo kwa dakika tano ni mpambano usio rasmi kati ya Diamond na Ali Kiba.Mpambano huo unaotengenezwa zaidi na mashabiki umetua katika...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>