Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109482

Diamond Platnumz Awaomba mashabiki "KUMPOKEA" Airport.

$
0
0
Msanii wa kizazi kipya, Diamond platnums, amewaomba mashabiki wake kumpokea Airport usiku wa saa nne kesho jumatano kwenye viwanja vya julius k nyerere, akitokea nchini marekani alipoenda kwenye ugawaji wa tuzo za afrimma ambapo msanii huyo alishinda kipengele cha msanii bora africa mashariki.

"Baba ubaya na wewe sasa umetuchoka mashabiki wako, sasa sisi tukae macho hadi saa nne za usiku mpaka uje , sasa ukishakuja ndo nini labda? Yani tukupokee usiku halafu wewe na hao vibaraka wako mpande prado mrudi sinza , aya na sisi wakina abdala msogoti tunarudije kwetu usiku wote huo? Au utatukodishia mabasi ya kuturudisha om? Maana umetuita, Unapenda sifa mwenyewe kiama hadi unaita watu wakupokee? mmh ila utawapata maana kuna mashabiki wako wakikuona had wanajikojolea, mimi unitolee upuuzi wako apa.

Ndio tunajua unataka ufurahi na mashabiki wako, kwani unashindwa kuandaa special event pale leaders na mashabiki wakaja kukupongeza apo tena pakubwa tu, unasumbua watu tena bila aibu eti wakupokee saa nne usiku au ndo unataka kuvunja rekodi airport? Mnataka tu kuwasababishia watoto wa watu matatizo wabakwe uko na kuibiwa ndo ufurahi, mwenyew huyo unarud kwako na usafiri wako unawaacha wenzio wakihangaika na usafir au utawalipa? Apo utataka watu wakusindikize kwa miguu toka airport hadi kwako, wewe unapigwa na Ac wenzio wanapiga mguu, na utawapata wapo wengi tu ma jobless watakuja kukupokea".

Na bora umewaambia mapema maana kuna watu watatoka morogoro,kimbiji na mikoa yote watakuja kukupokea airport, maana kuna watu wana ndoto japo tu wakuone super star wao, sasa ndo uandae na guest wenzio walale maana si unapenda sifa ulipe na gharama , aya nadhani ujumbe wameupata.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109482

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>