Picha: Neymar Atembea na Mkanda wa tiba Kiunoni akiwa na Mpenzi Wake
Hali ya Jeraha la mshambuliaji wa Barcelona Neymar kufuatia kugongwa kwa nyuma wakati wa fainali ya kombe la dunia na kupelekea kufanyiwa upasuaji wa mgongo sasa anaendelea vizuri ambapo amenza kula...
View ArticleJokate Ajipanga Kujitambulisha Rasmi kama Mwanamuziki Kupitia Kampuni Yake
Ndoto ya kufanya muziki kwa asilimia 100 haijayeyuka, bado ipo kichwani mwa Jokate Mwegelo.Baada ya kushirikiana na Lucci kwenye Kaka Dada, mrembo huyo amedai kuwa mpango uliopo ni yeye kujitambulisha...
View ArticleKisa cha Beyonce na Jay Z kususia harusi ya Kimye chabainika
Kitendo cha Beyonce na Jay Z kutohudhuria harusi ya Kanye West na Kim Kardashian kiliwashtua wengi kutokana na ukaribu wao.Na sasa ripoti mpya zinadai kuwa Beyonce na Jay Z waliamua kuitosa harusi hiyo...
View ArticleAibu Kubwa Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na...
Matokeo ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti ya tarehe 23 Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa...
View ArticleWanawake Watumia MikorogoI na Wavulana Wavaa Milegezo Kutimuliwa Mashuleni
Shule ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi fupi, milegezo na wanaotumia simu za mkononi shuleni.Mwalimu...
View ArticleMadai ya undugu kwenye ajira: Uhamiaji wasitisha kupisha uchunguzi
Kimenuka uhamiaji Baada ya Maafisa kuajiri ndugu zao , Ajiri zimesitishwa Kupisha Uchunguzi ..Soma hapa Chini:
View ArticleMke wa Kingwendu Abakwa.
MKE wa Kingwendu ambaye ni muigizaji maarufu wa filamu za vichekesho nchini amefanyiwa kitendo kibaya cha ubakaji na mwanaume aliyefahamika kama Upunguvuku katika pagala moja...
View ArticleWema Afunguka Kuhusu Ushindi wa Tuzo Alizopata Diamond
Shemeji Wema Sepetu afunguka Baada ya Diamond Kushinda Tuzo za Afrima
View ArticleUtafiti: Kufanya kazi zaidi ya saa nane kwa siku ofisini kunavyoweza 'kukuua'
Je, wewe ni mchapakazi sana, wa kwanza kufika ofisini na kuwa busy na pia wa mwisho kutoka ukikabiliana majukumu yanayozidi saa za kawaida za kazi? Hongera kwa uchapakazi lakini utafiti huu unaweza...
View ArticleKituko kingine alichofanya Balotelli uwanjani hiki hapa
Baada ya kukaa kimya kwa muda mfupi, staa wa soka asiyeisha vituko Mario Balotelli amerudi tena kwenye ‘headlines’ za vyombo vya habari ulimwenguni.Balotelli ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani...
View ArticleHabari Kuhusu Hamisa Mabeto Kuvalishwa Pete ya Uchumba Tarehe 2 Aug Excape1
Wanasema kimya kingi kina mshondo baada ya kudaiwa, hapo mwanzo ilidaiwa kua Hamisa Mobeto alikua akichepuka na Bwana Almas aka Dangote aka Diamond au Chibu kama mwenyewe anavyopenda kujiita. Lakini...
View ArticlePicha Tatu za Bahati Bukuku akiwa Hospitalini baada ya kupata Ajali mbaya ya...
Nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Bahati Lusako Bukuku ameumia mgongo na maeneo kadhaa ya mwili (nusu kifo) kiasi cha kushindwa kukaa, kusimama wala kutembea kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea...
View ArticleSakata la viungo vya maiti vilivyotupwa…..Dk Slaa Amtaka Waziri wa Afya AJIUZULU
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kujiuzulu kutokana na sakata la utupaji viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es Salaam....
View ArticleTundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni Wala Rushwa.
Wakati akichangia katika mdahalo wa ‘Nani anataka kuwazuia Watanzania kupata katiba mpya, jijini Dar es Salaam na kurushwa na kituo cha ITV, Gazeti la Nipashe limemnukuu Mbunge wa Singida Mashariki...
View ArticleAlex Massawe Anayetafutwa na Polisi Aonyesha Jeuri ya Pesa Alizonazo Huko...
WAKATI akisakwa kwa udi na uvumba na serikali ya Tanzania ili kuunganishwa katika kesi ya mauaji jijini Dar es Salaam, mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe anadaiwa kufanya jeuri ye fedha nchini...
View ArticleAfande Mpinga: Kila Traffic Ana Kitabu Cha Faini Mnafundisha Uhasibu Siku...
KAMA KUNA SIKU NILIOCHEKA DUNIANI NI LEO AFAND MPINGAKwanza shikamoo mkuu na baada ya shikamoo na kaswali changu cha kizushi ambacho ukisoma hata zawadi ya EID uitaji kifurahisho toshaMh Mpinga...
View ArticleRay C Unastahili Pongezi Kwa Kumuokoa Huyu Mrembo kwenye Janga la Madawa ya...
Mrembo Doreen aliyekuwa video Queen wa wimbo uliotokea kutamba miaka ya nyuma wa Ice Cream ulioimbwa na Haji Nura ‘Noorah’ akimshirikisha Suma Lee ameanza kurejea katika hali...
View ArticleWalio Tupa Viungo Vya Binadamu Bunju Wapandishwa Kizimbani, Mashataka Yafutwa
Sakata la kutupwa kwa viungo vya binadamu bila kufuata utaratibu jana liligeuka sinema wakati maofisa wanne wa Chuo Kikuu cha Tiba na Teknolojia (IMTU), walipofikishwa mahakamani Dar es Salaam.Maofisa...
View ArticleMwanamke Akinivulia tu Mgegedo Wangu Hausimamishi!!! Kuna Mwanamke Kanifunga...
Mie Nikipata Mwanmke yeyote hata awe mzuri kivipi akinivulia tu mgegedo hulala palepale na haisimami tena! tatizo hili limekuwa likitokea mara kwa mara kiasi kwamba nahisi nimechezewa! au ni tatizo la...
View ArticleDiamond Platnumz Awaomba mashabiki "KUMPOKEA" Airport.
Msanii wa kizazi kipya, Diamond platnums, amewaomba mashabiki wake kumpokea Airport usiku wa saa nne kesho jumatano kwenye viwanja vya julius k nyerere, akitokea nchini marekani alipoenda kwenye...
View Article