Mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel Amefunguka Kuhusu Penzi la Wema na Diamond Platnumz na kusema yeye kila siku anakesha na kuomba penzi hilo lidumu milele kwani ni Penzi ambalo kila mtu anavutiwa nalo hivyo hayupo radhi kuona Wema Sepetu na Diamond Platnumz wakiachana Tena...Anty Ezekiel kwa sasa ndio shosti wa Karibu wa Wema Sepetu
↧