Natasha:Ustaa Kwenye Maisha ya Ndoa ni Tatizo Kubwa Bongo
Stori: Gladness MallyaNENO! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amewataka wasanii wenzake kuachana na tabia ya kuingiza ustaa kwenye ndoa, jambo ambalo linasababisha kuwa na sifa mbaya ya...
View ArticleAunty Ezekiel Alishushia Maombi Penzi la Diamond na Wema Sepetu
Mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel Amefunguka Kuhusu Penzi la Wema na Diamond Platnumz na kusema yeye kila siku anakesha na kuomba penzi hilo lidumu milele kwani ni Penzi ambalo kila mtu anavutiwa...
View ArticleBaada ya Kuachana na Mumewe Dida Aonyesha Jeuri Nyingine ya Pesa
Baada ya Dida Mtangazaji wa Times fm Kuachana na Mumewe Edzen siku si nyingi zilizopita amejitokeza na kuonyesha Jeuri Nyingine ya Pesa na kudhihirisha yeye ndio Boss Lady wa Ukweli Bongo , Didas...
View ArticleRais Kikwete Akanusha Kumuokoa Ridhiwani Katika Kesi ya Dawa za Kulevya China
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.Rais Jk amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea...
View ArticleMaskini:Atupa Mtoto wa Siku Moja Kulinda Ndoa Yake
MTOTO wa kike mwenye umri wa siku moja amenusurika kufa baada ya kuokolewa na wasamaria kutoka katika shimo alimotupwa na mama yake mzazi.Imeelezwa kuwa mwanamke huyo alifanya hivyo ili kulinda ndoa...
View ArticleNiko Njia Panda Nikubali Kuolewa na EX Boy Au Nimsubiri Niliyenae sasa Japo...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23.niliwahi kuwa na mpenzi wangu wa kwanza tangu mwaka 2010 ambae ndie aliyekuwa wa kwanza kimapendi kwa upande wangu tulikuwa tunapendana sana,mimi binafsi...
View ArticleShilole Ashambuliwa Instagram Baada ya Kupost Picha Upaja Upo Nje Live
 Shilole Alipost Picha hiyo hapo juuu na Kuandika Maneno haya "Baada ya Kutoka TBC tv Taifa! Now nipo Mlimani Tv Live "Jisomee Watu walivyomchamba hapa chini:
View ArticleLulu na Wolper ni Wakopaji Maarufu Mjini
Wenye maduka ya nguo na saluni za kike wamewalalamikia wolper na lulu kwamba ni wakopaji maarufu na wasiopenda kulipa madeni yao. Nasikia hata matengenezo ya kucha wanakopa. Hizi habari zimenza muda...
View ArticlePicha: AY akiwa ikulu ya Marekani na wasanii wengine wa Afrika
AY amepata nafasi ya kuingia ikulu ya Marekani kupitia mualiko maalum wa rais Obama kwa wasanii wa Afrika ambao walikuwa katika One Campaign yenye lengo la kuhamasisha kilimo Afrika.AY ameungana na...
View ArticlePicha: Beyonce Atumia 'Kucha' Kujibu Taarifa za Kutaka Kuachana na Jay Z
Taarifa za maandilizi ya talaka kati ya wanandoa Jay Z na Beyonce zimendelea kuandikwa na vyombo vikubwa vya habari ambavyo huaminika sana nchini Marekani na Uingereza.Taarifa hizo zinazotolewa na...
View ArticleKuna Siri Gani Katika Makalio ya Wadada wa Mjini? Kila Wakipiga Picha Lazima...
Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake...
View ArticleVideo: Mwanamke Avua Nguo na Kubaki UCHI Mbele ya Sanamu ya Hayati Nelson...
Kisa cha mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini aliyevua nguo zote na kubaki Uchi kama alivyozaliwa na kusimama mbele ya sanamu kubwa ya hayati Nelson Mandela, kimewaacha wapita njia na majirani...
View ArticleMashoga na Wasagaji Kutoka Kenya, Uganda Wakutana Jijini Dar
MASHOGA kutoka nchi tatu za Afrika Mashariki wamekutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam.Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam, zinasema mashoga hao walikutana juzi katika Ukumbi wa Kivukoni 3...
View ArticleWatu Wawili Wafariki Kwenye Ziwa Victoria Walipokuwa Wanabatizwa
Walikuwa wakibatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAMHuu utaratibu wakubatiza ziwani bila kujali hali ya hewa usifumbiwe macho.Its time sasa serikali ichukue nafasi kuyafungia...
View ArticleMjuwe Bakhresa Katika Picha, Najua Wengi Hamjawahi Kumuona Mzee Huyu Asiye na...
KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, taratibu...
View ArticleTanzania ni Nchi ya 5 Kwa Uchumi Unaokua Kwa Kasi Zaidi Duniani
Wakuu, nilikuwa naangalia kipindi cha "Last Word" cha Lawrence O'Donnell kwenye chanel ya msnbc, na kati ya mambo yaliyoongelewa ni mkutano kati ya USA na viongozi wa Africa. Jambo lililonigusa zaidi...
View ArticleTume ya Warioba Yaivua Nguo Serikali Hadharani Katika Mdahalo
JANA taifa lilisimama saa nne kwa Watanzania kuelekeza masikio na macho kwenye runinga kusikiliza ufafanuzi wa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, juu ya upotoshaji wa viongozi...
View ArticleHabari Njema Dawa ya Ukimwi Ipo Mbioni Kupatikana
KUMBE inawezekana! Wanasayansi wapatao 30 duniani waliokuna vichwa kutafuta dawa ya kutibu gonjwa hatari la Ukimwi wamesema hatua waliyofikia ni kujipongeza kwa asilimia mia moja.Wataalam hao...
View ArticleDiva Loveness na Waandaji Wengine wa Events Hapa Mjini Wapewa Soma-Instagram...
Baada ya Instagram Party Iliyofanyika Hapa Dar weekend Hii iliyopita kuwa na Mafanikio makubwa , Kina Diva na Waandaji wengine wa Events Wapewa Somo ..Jisomee Mwenyewe hapa Chini:
View ArticleMch. Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Anunua Helcopter
Habari ambazo zimethibitishwa na facebook page ya kanisa la Ufufuo na Uzima zinasema kuwa Helcopta hiyo imewasili nchini tayari na sasa inafanyiwa assembling kwaajili ya kuanza kuruka jumatatu hii....
View Article