Wenye maduka ya nguo na saluni za kike wamewalalamikia wolper na lulu kwamba ni wakopaji maarufu na wasiopenda kulipa madeni yao. Nasikia hata matengenezo ya kucha wanakopa. Hizi habari zimenza muda Sana Binafsi nilijua wanasingiziwa ila nimakuja kuikuta topic ya wakopaji sugu kwa sintah Blog ambapo aliomba watu wacomment Masupaa Star wadaiwa Sugu na lulu na wolper weongoza.
Kuna kipindi Joan alitaka kuwaanika wadaiwa sugu na miongoni mwao wolper asingekosekana.
Mnajisifia no fake zone kumbe ni mikopo tena kulipa mbinde??
Kukopa kupo kwani hata serikali ya Tanzania inakopa ila ikizidi tena kwa star Kama nyie alafu hamlipi inakuwa haipendezi.