Kama mnavyojua kwasiku mbili tatu hizi kumekuwa na taarifa mbalimbali kupitia blogu hizi za udau na hata SOSHO MEDIA kupitia AKAUNTI za wadaku ikiwemo mimi…kuwa Komando Lady Jaydee ametengana na mumewe Gadner G Abash...Haya sasa Lady Jay Dee Ametukata Midomo kwa Kuweka Picha ya Vidole vyake huku vikiwa bado na Pete ya Ndoa .....Na kuandika "Kucha zimekosa rangi ya Oriflame tu, ili zing'ae zaidi ya hapo"
↧