Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bongo Bovie Hakuna Wanaume Mashoga, Wote Marijali- Steve Nyerere

Mwenyekiti wa Bongo Movie Tanzania Steve Nyerere amefunguka na kuweka wazi kuwa katika Tasnia ya filamu Tanzania hakuna muigizaji wa kiume mwenye tabia za kishoga,Steve amesema hayo leo alipokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habibu Mchange Akana Tuhuma za Kuhusika Kulipua Helkopta iliyombeba Myika na...

Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dawa Salama ya Kudhibiti Michepuko Hatimaye Yapatikana

Dunia ina mambo Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATARI!! Diamond Aamua Kuwapa ''Makavu Live'' Team Wema Baada ya Wao Kumdiss.

Baada ya mashabiki wa mwanadada Wema "kumjia juu mwanamuziki Diamond Platnumz" kuhusu tuhuma za yeye kumtumia mwanadada huyu kimwili zaidi bila kumuendeleza, hatimaye raisi huyu wa kundi la WCB ameamua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dallas Alikumbuka Penzi la Jackline Wolper….Aomba Warudiane

Yule zilipendwa wa sexy lady wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe aitwaye Ramadhan Abdallah Mtoro ‘Dallas’ anadaiwa kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha ikielezwa kwamba eti anabembeleza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balaaa Ugonjwa Hatari wa Ebola Wasemekana Kuingia Dar , Wawili Wakutwa Nao

Ugonjwa Hatari wa Ebola umeingia nchini kufuatia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na maambukizi yake kuwasili nchini.Wagonjwa hao wamepelekwa katika kituo maalumu kwa ajili ya wagonjwa wa ugonjwa huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kisa cha Adam Mchomvu Kumuumbua Fid Q kwenye Interview Ni Nini?

Juzi wakati msanii Fareed Kubanda - Fid Q yuko ndani ya XXL ya Clouds fm anatambulisha ngoma yake mpya inaitwa Bongo Hip Hop, mtangazaji Adam Mchomvu amekuwa anambana na maswali sana kiasi cha Fid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wamarekani Wamshukia Hasheem Thabeet Kwa Ukicheche

Jisomee mwenyewe madudu ya ndugu yetu. siyo wabongo, bali wamarekani wenyewe.One BA reader dishes the tea on OKC Thunder player Hasheem Thabeet and his seemingly fairytale relationship with longtime...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Irene Paul wa Bongo Movie Akiri Kuishi na Mwanaume Bila Ndoa

Angelina Jolie wa Bongo’ Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia.Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gardner G. Habash Apangua Madai ya Kuachana na Mke wake Lady Jay Dee

Mtangazaji Maarufu Gardner G. Habash  Ambae pia ni Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee Amezipangua Tuhuma ambazo zilienea Kwenye Mitandao Week iliyopita kuwa ndoa yao haipo tena, Gardner Amesema kuwa watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu Afunguka 'Namchukua Halima Kimwana Mpaka Basi'

Na Mayasa Mariwata na Shani RamadhaniWema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima Kimwana ambaye wamekuwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete Asema Uraia Pacha Kwa Sasa ni Ndoto

Dar/Dodoma. Rais Jakaya Kikwete amesema suala la uraia wa nchi mbili linaonekana kutokuwa na nguvu kwa sasa kutokana na kutojitokeza katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba, hivyo kutoingia katika Rasimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakatazwa Kuingia Kwenye Ndege, Kisa HIV

Abiria wawili wa china waliokuwa wakisafiri na ndege ya shirika la ndege la China (China Airline), wameamua kulipeleka shirika hilo mahakamani kwa kile walichokieleza kuwazuia kusafiri na shirika hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babu Tale Azungumzia Inayoitwa beef ya Diamond na Ali Kiba, Aifananisha na ya...

Meneja wa Diamond, Babu Tale amezungumzia kile kile kinachoelezwa kuwa ni beef kali ama ushindani mkubwa kati ya Diamond na Ali Kiba, moja kati ya mada ambazo zinatengeneza mijadal mingi sana kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapya kuhusu Ndege ya Malaysia iliyopotea, Ripoti Ya Benki Zinaonesha Abiria...

Ndege ya Malaysia Flight MH 370 iliyopotea miezi mitano iliyopita imerudi tena kwenye vichwa vya habari ikiwa na ripoti za kushangaza.Ripoiti ya benki ya Kuala Lumpur, Malaysia inaoensha kuwa akaunti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

H.Baba: Diamond Muoe Wema Muishi Kwa ‘Raha Mustarehe’

Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa na msanii mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati ya pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Amepanic Kuwajibu Mashabiki wa Wema, Majibu Yake Yanaweza Tia Doa...

Leo Diamond Aliamua Kuwajibu Mashabiki wa Wema Sepetu walio mshutumu anamtumia Wema Kwa Faida yakeBahati mbaya, majibu ya Diamond kupitia Instagram yamekuwa makali kiasi cha kuwashtua wengi na kuona...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nashangaa Mnamsifia Masogange, Kwa Umbo Langu Huyo Masogange Wenu Atasubiri Sana

AdminNashangaa mnamsifia sana masogange kwa Makalio Mazuri nakwambia ukweli yaaani huyo Masogange wenu atasubiri sana kwangu check hiyo picha moja ya Trailer tu nyingine ntakutumia kesho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilole Afunguka Sababu za Kurudiana na Mziwanda Baada ya Kuachana kwa Siku Moja

Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba msamaha wakarudiana na mambo yakawa swari.“Kikubwa ni kwamba ameomba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lady Jay Dee Awakata Wambea Midomo Kupitia Page yake ya Instagram

Kama mnavyojua kwasiku mbili tatu hizi kumekuwa na taarifa mbalimbali kupitia blogu hizi za udau na hata SOSHO MEDIA kupitia AKAUNTI za wadaku ikiwemo mimi…kuwa Komando Lady Jaydee ametengana na mumewe...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>