Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109660

Batuli:Sitaki Kusikia Tena Habari za Mtunisi Mimi na Yeye Mapenzi Yalikwisha

$
0
0
Stori: Gladness Mallya
WAMEMALIZANA! YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha.

Akistorisha na paparazi wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala kujua habari za Mtunisi kwani mapenzi yalikuwa zamani lakini kwa sasa kila mtu ana maisha yake yaani yeye Mtunisi ana mke na yeye ana mpenzi wake.

“Mimi kwa sasa nina maisha yangu na Mtunisi ana maisha yake nawashangaa wanaoniandama kwa maneno kwamba bado niko naye, jamani Mtunisi ana mke na mimi nina mpenzi hivyo sitaki kusikia habari hizo  kabisa,” alisema Batuli.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109660

Latest Images

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>