Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vifaa vya Kuwatambua Wenye Ebola Vyawasili nchini

Serikali imeanza kuingiza nchini vifaa vya kuwabaini watu wanaohisiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa homa kali ya ebola ambavyo vitawekwa kwenye viwanja vya ndege pamoja na baadhi ya maeneo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Atumia Wimbo wa Taarab kuwakejeli Wanaotaka Aachane na Wema Sepetu

Diamond Platinumz amepost kwenye Instagram kipande cha wimbo wa Taarab kinachowakejeli wote wanaotaka yeye na mpenzi wake Wema Sepetu watengane.Katika kipande hicho cha video, ameunganisha picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundaman: Iddi Azan Ananiandaa kuwa Mbunge, 'Napata Ushauri kwa Mheshimiwa...

Tundaman ameweka wazi mpango wa kuingia rasmi katika siasa na kukitafuta kiti cha ubunge katika uchaguzi mkuu baada ya 2015.Akiongea na tovuti ya Times Fm, Tundaman ameeleza kuwa alipata moyo na wazo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meninah Azungumzia Kilichotokea Baada ya Kuripotiwa Anatoka na Diamond Pia...

Mwimbaji wa Bongo Flava aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Kuimba BSS, Meninah La Diva amefanya exclusive Interview na tovuti ya Times Fm na kufunguka mengi ambayo hakuwahi kuyasema.Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DJ Fetty na DJ Muli B wa Clouds FM Wanaswa Katika Mapozi ya Kimahaba

MTANGAZAJI wa Clouds FM, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’ na DJ Muli B, wamenaswa wakiwa kwenye pozi la mahaba huku tena wakiwa wamejisahau utadhani mume na mkewe.shu hiyo ilitokea Agosti 17, Mwaka huu ndani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOST GENERATION: Just See These Crazy Photos And Leave A Strong Comment (Photos)

LOST GENERATION: Just See These Crazy Photos And Leave A Strong Comment (Photos)Usitoke Bila Kuacha Kumment ya Kukemea

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EPL: Matokeo ya Mechi Zote za Jana Ukiwemo wa Chelsea vs Leicester haya Hapa

Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa, huku mchezo wa Chelsea vs Leicester City ukichukua nafasi kubwa kwenye vyombo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Staa Afumwa Akifanya Mapenzi Live Kwenye Choo Cha Club, Wenyewe Wadai Walizidiwa

Staa Mmoja Maarufu Jina Kapuni kwenye Tasnia ya Bongo Flava Amejikuta katika Aibu Kubwa Baada ya Kufumwa Akibinjuka na Msichana ambae jina halikuweza fahamika kwenye choo cha Club Moja Maarufu Hapa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chris Brown Akoswa Kupigwa risasi na Watu Wasiojulikana Ndani ya Club.

Chris Brown alikuwa host wa pre party ya VMA Awards ndani ya 10AK club huko Hollywood. Kilichotokea kwenye hiyo party ni kupigwa risasi watu watatu na kukimbizwa hospitali akiwemo music producer Suge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndoa ya Sauda Mwilima ni Shida, Yeye na Aunt Ezekiel Hawachekani

Stori: Gladness MallyaOooh nooo! Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha (ndoa) na mwanaume aitwaye Kauli Juma, imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ommy Dimpoz Awachanganya Kimalovee Jokate na Vanessa Mdee

Acha kabisa! Habari ya mjini katika ulimwengu wa mastaa wa Kibongo ni madai ya Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuwachanganya kimalovee, mastaa wenzake, Jokate Mwengelo ‘Kidoti’ na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Batuli:Sitaki Kusikia Tena Habari za Mtunisi Mimi na Yeye Mapenzi Yalikwisha

Stori: Gladness MallyaWAMEMALIZANA! YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hali Ndani ya CCM ni Mbaya, Roho ya Makonda Inatafutwa Usiku na Mchana

Kwa mujibu wa nzi wetu anayecheza viunga vya Lumumba akitutiririshia habari zote mpaka mapigo ya mioyo ya akina Kinana, Nape na wana CCM wote walio juu ya maharamia wote, anatujuza kuwa huko CCM moto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alichonifanyia Huyu Dada Siku ya Jana Nahisi Aliamu tu Kunidhalilisha Mtu Mzima

Tumepanda daladala moja, ikafika wakat wa konda kuchukua mchango wa mafuta....kimbembe kikaanzia hapo, mdafada kajisachi weeeee nauli hana akaanza kumbembeleza konda kuwa atamlipa akifika mwisho wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kim Kardashian Amtega Usher Kwenye tuzo za MTV VMA, Ashindwa Kuficha

Kivazi cha Kim Kardashian kinachoonesha mwili wake katika tuzo za MTV VMA 2014 zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kilimtega mwanamuzi Usher Raymond ambaye alishindwa kufanya siri.Usher alishindwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vikoi Vikali Vinauzwa Kwa Bei Poa Kabisa, Unaletewa Ulipo Piga Simu 0715040535

Mavazi aina ya Vikoi kwa Wadada na Hata Wanaume Yanapatikana Kwa Bei Poa Sana Elfu 10,000 Tsh Unaruka na Kikoi chako unaletewa Ulipo Kwa Waliopo Jijini Dar ..Piga Simu 0715040535 Sasa Utoe Order na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo ya Coco Beach Haya, Hawa Walikuwa Wanafanya Yao Huku Wengine Wakizani...

Coco Beach Kumekucha, Mambo ya Uchafu yanayofanyika huko live live ni ya kusikitisha, Hawa walikamatwa na Kamera ya Udaku Special Wakijidai kuogelea huku wanacheza kumbe wanaibia kufanya yao , Angalia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Saikolojia ya Wanawake Kuchagua Mwenza (Mchumba) Inachekesha Sana

Wanasaikolojia wakiongozwa na mwanasaikolojia Benedict Jones wamegundua kwamba, mwanamke akitaka kupima uzuri wa mwanaume ambaye angependa kuwa rafiki au mpenzi wake, hupenda kujua kama hata wanawake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi Ya Kanumba Na Lulu Yasikilizwa Kimya Kimya

Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba  imechukua sura mpya baada ya kuanza kusikilizwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maajabu : Mke wa Mchungaji Ajifungua Hirizi Baada ya Ujauzito wa Miezi 9 huko...

Wazee wetu walishawahi kuneno kwamba; Ukishangaa ya Mussa utayaona ya filauni! Ndivyo unavyoweza kuanza kusema kuhusiana na tukio la kushangaza lililotokea Kijiji cha Udindila Wilaya ya Bagamoyo mkoa...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>