Mwigizaji na Mwanamuziki Maarufu Bongo Shilole Amesema Kwake Matumizi ya Condom huyu yanamyima raha ya Mapenzi Hivyo alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake ili wasitumie mipira
Shilole Amezidi Kusema kuwa raha ya mapenzi ni kukutana na mpenzi bila kuwa na kizuizi chochote asikwambie mtu raha ya kula ndizi ni kula ikiwa imemenywa maganda huondoa utamu