Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109490

Wema Sepetu: Simlishi Mpenzi Wangu Diamond Viporo na Wala Siweki Chakula Kwenye Hot Pot

$
0
0
MAHABATI! Beautiful Onyinye wa Bongo,
Wema Sepetu ‘ Madam’ amedhihirisha kuwa
yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani
baada ya kusema anajitahidi kila siku katika
suala la mapishi ili asimlishe viporo
Akipiga domo na paparazi wetu, Wema
alisema kama mwanamke anajua thamani ya
mwanaume siku zote hata kama ‘ baby’ wake
atarudi usiku , lazima aingie jikoni kupika na
haweki chakula kwenye ‘ hot pot ’ .
“Siku zote si kwamba najisifia ila kwa jikoni
ndiyo mwenyewe sasa kwa nini nipike
chakula halafu niweke kwenye hot pot ?
Kwangu siruhusu kabisa itokee , ” alisema
Wema .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109490

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>