$ 0 0 Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo zaCHOAMVA mwaka huu. Diamondametajwa kuwania vipengele vinneambavyo ni pamoja na MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEW COMER, MOST GIFTED AFRO POPna MOST GIFTED EAST AFRICA