Makalio ya Maimartha Jesse Yawa Gumzo, Wengine Wamnanga na Kusema Anatumia...
Na Gladness MallyaKUTOKANA na kubadilika kimuonekano na kila kukicha makalio kuzidi kuwa makubwa, mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse amenangwa kwamba anatumia dawa za Kichina kuyaongeza...
View ArticlePicha za Mboni Mwasimba wa Mboni Show Kabla Hajawa Maarufu
Picha za Mboni Mwasimba wa Mboni Show Kabla Hajawa Maarufu Watu tumetoka Mbali sana Hiyo picha ya kwanza imeniacha hoi..Mboni Msela
View ArticleMakalio Makubwa For Ladies Ndio HabariYa Mjini, Some are Real Blessed ! But...
Ni shida Hapa Mjini kwa Wadada , Kila Mdada anataka Awe na Mkia as ndo kitu kina kiki hapa Town, Inafikia Wengine wanaamua kutafuta Makalio Fake kwa Njia yoyote ile Kama kumeza dawa za mchina ama kuvaa...
View ArticleDiamond Platnumz Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo Zingine Kubwa Afrika
Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo zaCHOAMVA mwaka huu. Diamondametajwa kuwania vipengele vinneambavyo ni pamoja na MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEW COMER, MOST...
View ArticleMbunge John Mnyika Kumshtaki Pinda Mahakamani
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam Mh. John Mnyika anakusudia kumshtaki mahakamani Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa kosa la ofisi yake kushindwa kutangaza tarehe pamoja na maadalizi ya...
View Article'Kajala Nitoe Gerezani' Mume Wake Apaza Sauti Baada ya Mkwanja Kumtembelea...
Stori: Sifael PaulANA hoja? Siku chache baada ya gazeti pacha la hili, Ijumaa Wikienda, toleo la Jumatatu iliyopita kuripoti juu ya utajiri mkubwa wa staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’,...
View ArticleMwanamuziki Diamond Platnumz Aeleza Jinsi Alivyodhalilishwa
Stori: Shakoor JongoSIKU chache baada ya kufanyiwa fujo katika shoo yake nchini Ujerumani, staa wa Mdogo Mdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameibuka na kueleza namna ambavyo alidhalilishwa nchini...
View ArticleMwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo,...
View ArticleBunge Lakataa Elimu ya Kidato cha Nne kwa Wabunge, Sasa We Jua Kusoma na...
Pendekezo la Rasimu ya Katiba kuwa wabunge walau wawe na elimu ya kidato cha nne limetupiliwa mbali na wajumbe wa Bunge Maalumu, baada ya Kamati karibu zote kulikataa.Kamati hizo zimependekeza kigezo...
View ArticleAY Apendekeza Kiwango Bora cha Show Wanachopaswa Kulipwa Wasanii Wakubwa...
Malipo ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania katika shows ni sehemu ya kilio cha wasanii hao ingawa wapo wachache wanaotangaza kuneemeka na kipato hicho.Akiwa katika Maskani ya 100.5 Times Fm...
View ArticleNick Cannon Akana Taarifa za Kuwa na Ugomvi na Mariah Carey, 'Nisingeweza...
Mchekeshaji Nick Cannon amekanusha taarifa zilizotolewa wiki kadhaa zilizopita kuwa yeye na mkewe Mariah Carey wana ugomvi mkubwa na kwamba hawaishi nyumba moja kwa zaidi ya miezi mitatu.Nick Cannon...
View ArticleGardner G Habash Azungumzia Tetesi za Kuachana na Lady Jay Dee na Chanzo...
Gardner G Habash amekanusha taarifa zilizokuwa zimesambazwa kwenye mitandao kuwa yeye na mkewe Lady Jay Dee wako kwenye wakati mgumu wa ndoa yao.Akizungumza katika Exclusive Friday ya 100.5 Times Fm,...
View ArticleAmng'ata Midomo Mpenzi Wake Wakati Wanakiss kwa Kuhisi ana Mchepuko wa Facebook
Udaku Special Tumepata habari kutoka Uingereza ya kusikitisha ya kijana Rhys Culley kumng’ata vibaya midomo mpenzi wake Chanttelle Ward mwenye umri wa miaka 18 wakati anamkiss baada ya kuwa na ugomvi...
View ArticleShow ya Fiesta Musoma Yaahirishwa Kufuatia Ajali ya Mabasi 2 iliyosababisha...
Ajali hiyo imehusisha basi la MWANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J4 Express T677 CYC. Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa iliyopo Musoma...
View ArticleNuhu Mziwanda: Uhusiano Wangu wa Kimapenzi na Shilole Umenipa Kick ya Kutoka...
Mwaka 2013 ni watu wachache tu waliokuwa wakilifahamu jina la Nuh Mziwanda kwakuwa alikuwa msanii mchanga anayetafuta nafasi yake kwenye muziki wa Tanzania. Wimbo wake ulioanza kumtambulisha uliitwa...
View ArticlePicha: Huyu Ndiye Girlfriend wa Mwanamuzi Ben Pol?
Ben Pol ni msanii ambaye amekuwa nadra kuingia kwenye headlines zinazohusu mapenzi ya mastaa wa bongo na pia ni miongoni mwa wasanii wasioweka hadharani mahusiano yao ya kimapenzi.Lakini safari hii...
View ArticleKivazi cha Kajala Kilichozua Tabu Mitandaoni, Upaje Nje Nje
Mwanadada Kajala anaye Make headlines nyingi kwa sasa akiwa katika pozi na Kivazi Kilichozua Tabu Mitandaoni, Upaje Nje Nje, Anazidi Kupendeza tu Shosti Wetu wa Ukweli..
View ArticleJipya Kuhusu Young Killer Kumbe Alishatoa Mahari Kimya Kimya Baada ya Kupewa...
Rappa kutoka 88.1 Mwanza ambaye msimu wa Serengeti Fiesta 2012 ulifanikiwa kumuwakia na kuwa mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya Serengeti Super Nyota Young Killer leo amehusishwa tukio la kutoa...
View ArticleWakati Mkiongea ya Germany,Diamond Anafanya Yake South Africa na MTV Base
Siku ya Jana mwanamuziki nguli wa Bongo fleva , Diamond Platnumz yupo nchini Africa Kusini akishoot kipindi na Televisheni ya MTVBase ya nchini humo. Bado haikuweza kujulikana kipindi hicho kinahusu...
View ArticleLundenga na Miss Tanga Wazichapa Kisa Mchepuko, Lundenga Akamatwa
KW/RB/8441/2014 imemshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga kwa madai ya kuzichapa na Miss Tanga 1997, Mona Faraja ambaye pia ni mke wake na kumsababishia majeraha, Risasi...
View Article