Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109498

Mastaa wa Kike wa Bongo Flava Mnapashwa Kuiga Kutoka Kwa Staa Huyu Pichani

$
0
0

Katika Pita Pita zangu kwenye Show mbali mbali za Bongo Flava Hasa Huu Msimu wa Serengeti Fiesta na Kill Tour 2014 nimegundua Wasanii Wetu wa Kike ni Wavivu sana Wawapo kwenye Staji , yaani hakuna cha ziada zaidi ya kupanda jukwaani na kuimba , ubunifu umekosekana kabisa hata uchezaji ni wa kisista duuu kabisa , nafurahi kidogo upande wa Wavulana kwa sasa wameanza kuonyesha mambo mazuri, Nawashauri Wasanii kina Dada Mumuige Beyonce, huyo Dada ni Kiboko Awapo Stajeni na anaonekana ni mtu wa Mazoezi sana na ndicho kinamfanya awe wa Tofauti katika Wanamuziki wa Kike Duniani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109498

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>