Damu ya Watu Ambao Wamepona Ugonjwa wa Ebola Kutumika Kama Dawa Kuponesha...
Shirika la afya duniani WHO limesema kuwa damu ya watu ambao wameponea ugonjwa wa Ebola inaweza kutumiwa kuwauguza wagonjwa wengine.Katika mkutano mjini Geneva, wataalam wa shirika hilo walikubaliana...
View ArticleChuchu Hans Awacharukia Wote Wasio Penda Mapenzi yake na Mwigizaji Ray Kigosi
Stori: Imelda MtemaMALOVEE! Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans, amewashukia watu wanaoiponda ‘kapo’ yake na mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ na kusema hata iweje, mambo yao yatakwenda kama...
View ArticleMgonjwa Aliyekuwa Akiombewa Kanisa la Gwajima Akutwa Amefariki Gesti
Habari mbaya inamhusu mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Averina ambaye alikuwa akiombewa kwenye Kanisa la Ufufuo na Uzima la Nabii Josephat Gwajima ambaye anadaiwa kufia nyumba ya kulala wageni...
View ArticlePigo Jingine Bunge Maalumu la Katiba, Linapoelekea Sipo Kabisa
Kuna dalili hali si shwari ndani ya Bunge Maalumu la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman kujiuzulu ujumbe wa Kamati ya Uandishi wa Katiba...
View ArticleMdogo wa Flora Mbasha Aeleza Mahakamani Jinsi Mbasha Alivyombaka
Shahidi wa kwanza katika kesi ya kubaka inayomkabili mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, ameieleza mahakama jinsi mshtakiwa alivyomkaba shingo na kumziba mdomo kwa kutumia nguo, kisha...
View ArticleZanzibar Yajitoa Rasmi Bunge la Katiba
Kukosekana kwa Waziri na pia mwanasheria Mkuu kujiondoa wote wakiwa wanaiwakilisha Zanzibar ,wajumbe walio wengi wameichukulia hali hiyo kama kujitoa kwa Zanzibar katika kutunga Katiba mpya kwani...
View ArticleMwigulu Nchemba Huko Kujitutumua ni Uzalendo Au ni Mbio za Urais 2015?
Jamani ninaomba mnisaidie Mbona Mwigulu kwenye nafasi yake ya Unaibu Waziri wa Fedha sera anaonekana na kuwa na nguvu za Kiutendaji zaidi ya Waziri wake?Kila mara namsikia Mwigulu tu! Mbona Waziri...
View ArticlePamoja na Kupigwa Marufuku Ngoma za Vigodoro Zarudi Upya
Licha ya vigodoro kupigwa marufuku na serikali lakini Ngoma hizo zinaendelea kupigwa Sehemu Mbali Mbali Kama Kigogo Luhanga kwa bint kahenga na Maeneo ya Bunju jirani na Mapinga.Mambo ni mdundo ni yale...
View ArticleMshitakiwa wa Ugaidi Aonyesha Alivyolawitiwa na Polisi Mahakamani
MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya...
View ArticleTemba Amcharukia Mtangazaji wa Redio Aliyemuuliza Kama Anabebwa na Chege!
Ukitaka kujua kama ni kweli Mheshimiwa Temba alipitia jeshini basi muulize swali kama anabebwa na Chege kwenye nyimbo zao. Hicho ndicho kilichomkuta mtangazaji wa kituo cha redio cha Victoria FM ambaye...
View ArticleNay wa Mitego: Sijali Kama Najihusisha na Ufreemason, Naangalia Naingizaje Pesa
Rapper Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni alizusha maneno mengi kutokana na video ya wimbo wake ‘Mr Nay’ yenye mambo ya kutisha, amewajibu mashabiki wake kwamba hajali kuhusishwa na ufreemason ilimradi...
View ArticleCCM Ndio Chama Bora Afrika Mashariki na Kati, Unakubali ama Unakataa?
Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania.CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi...
View ArticleUshauri Kwa Wapinzani wa Lowassa Ndani ya CCM
Nimekuwa nikiona wapinzani wa Lowassa ndani ya ccm wakihangaika kila njia wakijaribu kuangalia ni namna gani wanaweza kumshughulikia jembe hili la kaskazini linalo mtanguliza Mungu mbele wakati wote wa...
View ArticleBreaking News:Safaru Mpya ya Shilingi Mia Tano Yatolewa na BOT
SARAFU MPYA YATOLEWA: BoT leo imetoa sarafu mpya ya Sh500 itakayoanza kutumika rasmi Oktoba 2014, noti za Sh500 zitatumika hadi mzunguko wake utakapoisha.
View ArticleMaskini:Embu Angalieni Hii Video Jinsi Wenzetu Wanavyoteswa Kwenye Kambi za...
Jamani hebu agaliendi yanayotokea kwenye kambi za JKT. Sijui ni kufundishwa uzalendo huko au ni mateso. Serekali Ipo Wapi Jamani Kama ndo uonevu wa Aina Hii Upo Huko ..Tutaogopa sasa Kuwapeleka Wanetu...
View ArticleAskofu Kakobe: Kinachoendelea Katika Bunge la Katiba ni Uhuni Mkubwa
Kabla ya mahubiri ya Neno la Mungu katika Ibada Kuu ya leo Jumapili 7.9.2014, Mwenge, Dar-Es-Salaam; Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zachary Kakobe, alianza kwanza...
View ArticleWadada Tubadilike Tabia ya Kuomba omba Kwa Wanaume si Nzuri inatuzalilisha
Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia coz ni kawaida yako, Hii tabia ndio inafanya mnamegwa ovyo ovyoWengine sasa sio hata...
View ArticleLulu Michael Katika Muonekano Mpya wa Kistaarabu, Safi Sana Anafaa Kuwa Mke Sasa
Lulu Michael Amekuwa Katika Midomo ya Watu kwa Muda mrefu hasa kutokana na mavazi anayovaa kuwa ya kutega wanaume, Tukio la Mwisho lilikuwa la hivi karibuni kwenye Fainali za TMT ambapo alivaa kivazi...
View ArticleMastaa wa Kike wa Bongo Flava Mnapashwa Kuiga Kutoka Kwa Staa Huyu Pichani
Katika Pita Pita zangu kwenye Show mbali mbali za Bongo Flava Hasa Huu Msimu wa Serengeti Fiesta na Kill Tour 2014 nimegundua Wasanii Wetu wa Kike ni Wavivu sana Wawapo kwenye Staji , yaani hakuna cha...
View ArticleVideo:Gari Likitolewa Mtoni, Liliua Mke na Mume Baada ya Kugongwa na Basi La...
Ni ajali ambayo iliua watu 39 na kujeruhi wengine zaidi ya 70 huku baadhi yao wakibaki na ulemavu wa kudumu baada ya mabasi mawili ya J4 Express na Mwanza coach kugongana uso kwa uso darajani Sabasaba...
View Article