$ 0 0 Mwanamuziki Diamond Platnumz Asubuhi hii Amepost Picha ya huyu jamaa juu akitoa onyo kwa Wabongo waishio UK Kwambo huyo Jamaa ni Tapeli kwa kusema, Mnaposikia Kaandaa Show ni Vyema Kuziepuka , Jisomee Hapo chini: