Maelfu Wajitokeza Kumsindikiza Freeman Mbowe Polisi Alipoitwa Kuhojiwa Kuhusu...
MAMIA ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asubuhi hii wamejitokeza kumsindikiza Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe kuelekea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi yaliyopo...
View ArticleJide na Gadner Sasa ni Kama Paka na Panya, Kila Mmoja Atinga Ukumbini na...
Stori: Richard BukosPAMOJA na kutumia nguvu nyingi kukanusha kwenye mitandao kwamba ndoa yao haijavunjika, mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ‘G. Habash’ na ‘mtalaka’ wake, Judith Wambura...
View ArticleMakubwa:Mwanafunzi Aamua Kujinyonga kwa Kukosa Huduma Hospitalini
Mwanafunzi wa kidato cha 5 shule ya sekondari Ihungo(19) Ameamua kujinyonga kwa kutumia shuka lake katika hospital ya mkoa wa Kagera baada ya kulazwa hospitalini hapo bila kupata huduma ipasavyo, Kabla...
View ArticleMishahara Hewa Kwa Watumishi wa Serekali Sasa Basi, Mwigulu Nchemba Noma Sana
Serikali imeagiza watumishi wote wa umma walipwe mishahara moja kwa moja kupitia akaunti zao sahihi za benki ambazo zitatumika kupitishia mihahara yao.Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha...
View ArticleMama wa Mtoto wa Maajabu Aliyepanda Ndege Bila Kugundulika Mpaka Zanzibar...
Stori: Richard BukosMTOTO Happiness (10) (pichani) ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alizua kizazaa mjini Zanzibar baada ya kuonekana akizungumza na viumbe wa ajabu na wanyama, ametua jijini Dar...
View ArticleKama Mbowe yuko huru basi na Sheikh Ponda aachiwe
Kutokana na kauli ali iyotoa mwenyekiti wa chadema mh.mbowe ya kuitisha maandamano nchi nzima tena yasiyo na kikomo.nilitegemea kwa kauli ile mbowe alitakiwa awe ameshakamatwa siku ile ile.lakini cha...
View ArticleHuyu Jamaaa Ndio Ataiwakilisha Tanzania kwenye Nyumba ya Big Brother Afrika...
Mpiga picha, Idris ni mmoja wa wawakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mwaka huu.“Idris is a photographer from Tanzania, filled with positive energy. He admits to having a...
View ArticleMambo Ambayo ni Diamond na Wema tu, Ndio Wanaoweza Kufanya Hapa Bongo!
Hivi ni vitu ambavyo inabidi tu tuwaachie Diamond na Wema waendelee kufanya yao, wengine wabaki watazamaji tu, afterall siyo kila mtu yuko kwenye movie yao ambayo bado inaendelea, hii ni moja ya...
View ArticleGlobal Publishers Yawaomba Radhi Zitto Kabwe na Diva Loveness
Kupitia gazeti la Amani la Septemba 11-17, 2014, kulichapishwa habari ukurasa wa mbele iliyosomeka: “DIVA: ZITTO NI MUME WANGU.” Ikikolezwa na dondoo ‘Adai ni mke anayetambulika kisheria’ na ‘Asema...
View ArticleAnti Ezekiel na Kassim Mganga Wahusishwa Kuwa na Uhusiano wa Kimapenzi
Gazeti la Makorokocho ambalo mhariri wake ni Soudy Brown kutoka XXL ya Clouds Fm leo kwenye ukurasa wa mbele kabisa kuna stori inayomhusu Anti Ezekiel pamoja na Kassim Mganga.Stori hii imeanzia wakati...
View ArticleMsichana Aelezea Jinsi Wasichana wa Bongo Wanavyodanganywa Kwenda Kufanya...
Ushuhuda wa huyu dada inawezekana ukakufumbua macho na kujua wapi sehemu sahihi ya kuelekea na kujua nini unachotakiwa kukifanya kama umeshaanza kujiandaa safari ya kwenda Dubai.Wimbi kubwa la ukosefu...
View ArticleBaada ya Kufunga Ndoa, Lucy Komba "AWALIPUA" Wabaya Wake
Msanii maarufu wa filamu nchini, lucy komba, ambaye ivi karibuni alifunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake wa siku nyingi, ambaye ni raia wa denmark. Msanii huyo amewatupia dongo la haja wabaya wake...
View ArticleMartin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake?...
Katika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa kuwekwa na manager...
View ArticleBinti Huyu Ametupanga Wanaume Kumi na Moja na Wote Anatupa Uroda Bila...
Ukimuona kwa macho utasema huyu ndio mwanamke kumbe ni bonge la kimeo…ilikuwa mida ya jioni natoka zangu kazini mara ikaingia massage..baby uko wapi nimekumiss…nikamjibu ndo natoka kazini...
View ArticleKAJALA Akwama PESA ya Kumtoa Mumewe Jela
Licha ya mkwanja kumtembelea, msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekwama kupata pesa ya kumlipia faini mumewe Faraji Chambo ili aweze kutoka jela.Akizungumzia ombi la mumewe huyo kumtaka kutofuja...
View ArticleHatimaye Dada wa Mwanamuziki Diamond Platnumz Esma Afunga na Petit man
Ni habri mpya ya mjini kwa sasa,ndoa ya Dada wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache,amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae umezalisha kile amabcho wengi hawakukitgemea kama...
View ArticleMsanii Mez B Aingia Katika Kashfa Nzito Baada ya Kuwalazimisha Warembo Kupiga...
Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la Chamber Squad na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushagama ‘Mez B’ anadaiwa kuwaaibisha ma-miss kwa kuwalazimisha kupiga nao picha...
View ArticleCathy:Kujiuzulu Kwa Steve Nyerere ni Pigo Kubwa Bongo Movie, Hakika Kundi...
Stori: Gladness MallyaMSANII wa filamu ambaye pia ni mweka hazina msaidizi wa klabu ya Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kwamba anaona kundi hilo linakwenda kufa na halitakuwepo...
View ArticleDiamond Platnumz Aingizwa Mkenge na Promotor Huyu, Atoa Onyo kwa wa Bongo wa UK
Mwanamuziki Diamond Platnumz Asubuhi hii Amepost Picha ya huyu jamaa juu akitoa onyo kwa Wabongo waishio UK Kwambo huyo Jamaa ni Tapeli kwa kusema, Mnaposikia Kaandaa Show ni Vyema Kuziepuka , Jisomee...
View ArticleDiamond Azidi Kujiharibia Yamkuta Tena Huko London Usiku wa Kuamkia Leo Jumamosi
Haya promota VICTOR aliye Andaa Show ya Diamond London kashikiliwa na polisi, walionunua ticket kuona show yake wamegoma kuondoka hadi warudishiwe pesa na wamerudishiwa.Diamond hakuonekana ukumbi wa La...
View Article