Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Nataka Kuzamia Nje ya Nchi, Nishaurini Wakuu Niende Nchi Ipi?

$
0
0
Nimepambana sana hapa nyumbani lakini sioni dalili yoyote ya kufanikiwa nikiwa hapa.

Kama kusoma nimesoma, kazi nimefanya japo sio za kunilipa , nimejaribu ujasiriamali mdogo na vitu vingine vingi lakini sioni nikisogea.

Wataalamu wanasema ukiishi maisha yale yale uku unafanya mambo yale yale na hauoni mabadiriko lakini umeyangangania ujue kufeli kunakusubiri.

Kwa hiyo naomba mnisaidie mawazo ndugu zangu ni nchi gani ninaweza kwenda dunia hii nikafanikiwa.

Naomba mnishauri nchi ya kwenda na kazi zake uko za kufanya au biashara.

Na njia zipi nitumie kufika huko maana pesa yangu ni ya kuungaunga tu sipo safi.


NB: Usiangaike kunishauri juu ya nibaki bongo nifanye nini, sababu sitokusikiliza 
By Stivii

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>