Wafuasi wa CCM na CUF Watwangana Makonde Live Live Wakigombea Uwanja
Wafuasi wa CCM na CUF jana walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa Buguruni Chama ili kufanya mkutano wa hadhara.Mvutano huo ulisababisha Polisi kuingilia kati na kuwatawanya wafuasi hao kisha...
View ArticleMbunge Kessy Asipigwe, Ajibiwe Hoja Zake Kwani Anayosema Ni Baadhi ya Kero za...
Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kessy wiki iliyopita alilazimika kusindikizwa na askari wa Bunge la Jamhuri kuondoka katika viwanja vya eneo hilo kumnusuru na hasira za wajumbe kutoka Zanzibar waliokerwa...
View ArticleHatari:Wachungaji Mbaroni kwa Ulawiti wa watoto Kanisani, Wadaiwa Kuwarubuni...
WATOTO sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji.Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa...
View ArticleUsikubali Kuogopa Kumuonyesha Mke au Girlfriend Wako Unampenda Kisa Unaogopa...
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye. Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti...
View ArticleFollow Udaku Specially Blog on Instagram Kupata Udaku wa Chini ya Kapeti
Usipitwe na Stori Kubwa za Kimjini Mjini na Udaku wa Chini ya Kapeti , Tufuate INSTAGRAM Kwa Kubonyeza Link Ifuatayo na Ikifunguka Bonyeza Kitufye cha Follow chini ya Profile Picha:>>>>>...
View ArticleJustin Bieber Aacha Pombe, Atanganza Maisha Mapya na Selena Gomez
Mwimbaji Justin Bieber ameamua kuyaanza maisha mapya kwa kuacha kutumia vilevi na vyakula visivyoshauriwa kiafya ili kuinusuru zaidi kazi yake ya sanaa.Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la The Sun,...
View ArticleExclusive: Babu Tale Azungumzia Ujio Mpya wa Diamond, Kazi Zote...
Wakati wimbo wa MdogoMdogo ukiwa bado unasumbua kwenye media, Diamond Platinumz anatarajia kurusha mawe mengine mazito zaidi kwa ajili ya kuwaburudisha mashabiki wake.Akiongea na tovuti ya Times Fm,...
View ArticleUtata Watawala Taarifa za Kuuawa Kiongozi wa Boko Haram
Taarifa zilizosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini Nigeria zinadai kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Boko Haram, Abubakar Shekau ameuwa na majeshi ya Nigeria.Tetesi hizo zilianza kusambaa...
View ArticleWanamgambo wa Islamic State Wametoa Video Nyingine inayomuonyesha Mwandishi...
Wanamgambo wa islamic state wametoa video nyingine inayomuonyesha mwandishi wa uingereza John Cantlie aliyekuwa ametekwa nyara.Cantlie akiongea katika video hiyo ya dakika sita amesema alikuwa...
View ArticleNataka Kuzamia Nje ya Nchi, Nishaurini Wakuu Niende Nchi Ipi?
Nimepambana sana hapa nyumbani lakini sioni dalili yoyote ya kufanikiwa nikiwa hapa.Kama kusoma nimesoma, kazi nimefanya japo sio za kunilipa , nimejaribu ujasiriamali mdogo na vitu vingine vingi...
View ArticleWasira Aamua Kufungu 'Urais si Mama Mkwe wa Kuonea Haya Wakati Ukifika...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wasira amesema hana sababu ya kuona haya kutangaza kuutaka urais kwa kuwa urais si ukwe ila anasubiri wakati mwafaka.Wasira alitoa kauli hiyo...
View ArticleAjabu: Anamkodisha Mpenzi wake kwa Yeyote Apate Pesa ya Kununua iPhone 6
Mwanafunzi wa Chuo kikuu kimoja cha China ambaye jina lake halikutambulika kwa haraka ameamua kufanya ‘uchizi’ ili mradi tu aipate pesa ya kununua aina mpya ya iPhone iliyoingia sokoni, iPhone6.Kijana...
View ArticleMaajabu: Kutana na Mwanaume Anayefika Kileleni Mara Mia Kwa Siku
37 year old Dale Decker (pictured above with his wife) says his life is being ruined by having 100 orgasms a day. Speaking for the first time about his near-constant erection which he says he doesn't...
View ArticleAngalia Video Jinsi Wanigeria Wanavyokufa Kwa Njaa na Kiu Wakizamia Ulaya...
Samahani Kwa Video Hii Inatisha , ila Hali ndo ilivyo huko Nigeria Kwa wale wanaozamania ulaya kupitia jangwa la Sahara, Ukiangalia ramani ya Dunia Utaoni Nigeria Imepakana na nchi za ulaya ila hapo...
View ArticleMkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Amewalazimisha Waalimu Kuchangia Jumla ya...
Katika hali isiyo ya kawaida, mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara/Mikindani Bwana Limbakisye Shimwela amewalazimisha waalimu wa manispaa hiyo kuchangia jumla ya Shilingi 48,000/= bila idhini yao kwaajili...
View ArticleFacebook Kuanza Kuwachaji Dola 2.99 Watumiaji wa Mtandao Huo Kila Mwezi...
At a press conference this morning, Facebook rolled out their new monthly service plan. Beginning November 1st of this year, the social media giant will start charging members $2.99/mo to use services...
View ArticleMwigizaji Yusuph Mlela Ampiga Dongo Nora Amwita Kibibi
KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito...
View ArticleMpambano Unaendelea Wema Sepetu Awatunza Fedha Chafu Yamoto Band
“MADAM…Madam…Madam…” ndizo kelele zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa akimtunza fedha nyingi dogo machachari wa Bendi ya Yamoto, Asilahi Isiyaka ‘Dogo Aslay’.Tukio hilo...
View ArticleAliyeua Mke Kwa Wivu wa Mapenzi Naye Auawa na Wananchi Wenye Hasira Kali
WATU wenye hasira wamempiga hadi kumuua mwanamume, aliyemuua mke wake kwa kumpiga rungu tumboni.Kamanda wa Polisi mkoani hapa, David Misime, alisema tukio hilo la Septemba 20, mwaka huu katika Kijiji...
View ArticleSamwel Sitta Amwaga Sifa Kede Kede Kwa Chama Kipya ACT-Tanzania Ndani ya Bunge
Mwenyekiti wa Bunge la katiba ndugu Samwel Sitta ameendelea kudhihirisha kwa umma wa watanzania juu ya uwepo wa chama cha siasa kilichopata usajili ndani ya muda mfupi sana cha ACT-Tanzania.Huku...
View Article