$ 0 0 Kenya imezidi kuimarika ki uchumi na kujikuta inahama kutoka nchi maskini na kuwekwa kundi la nchi zenye uchumi wa kati duniani na hivo kujikuta inakuwa miongoni mwa nchi 4 zeneye uchumi imara kusini mwa jangwa la sahara.Saurce BBC.