Tabia za Wasichana wa Tanzania Kulingana na Makabila Yao
1.WASUKUMA:Hawa ni madem tuseme tu blackbeauty yaani mademu wana ngozi smooth ya kupendeza sana lakini niweusi kama mkaa but mimi huwapendea one thing. Demu msukuma akikupenda amekupenda for real...
View ArticleKenya Yapaa Kiuchumi na Kuwa Katika Nchi za Uchumi wa Kati
Kenya imezidi kuimarika ki uchumi na kujikuta inahama kutoka nchi maskini na kuwekwa kundi la nchi zenye uchumi wa kati duniani na hivo kujikuta inakuwa miongoni mwa nchi 4 zeneye uchumi imara kusini...
View ArticleUgonjwa wa Ebola Watua Marekani, Mgonjwa wa Kwanza Agundulika
Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, imethibitishwa katika mji wa Dallas, Texas.Maafisa katika kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian...
View ArticleJussa Anena - 2/3 Bunge la Katiba Imekwama Angalia Mahesabu Hapa
The game is over!Kwa mujibu wa Samuel Sitta alivyotangaza jana, jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629Tanganyika = 419Zanzibar = 2102/3 ya 210 = 1401/3 ya 210 = 70Kwa hesabu ndogo tu hapo ni...
View ArticleNani Alimuelewa Mh.sitta Aliposema Wanataka Kujadiliana na Walio Piga Kura...
Wakati wa kipindi cha bunge Jana, kama ambayo wengi wenu humu mlimsikia, mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mh. Samwel Sitta alisema ameunda kamati ya maridhiano kwa lengo la kukutana na kujadiliana na...
View ArticleGari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua...
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya...
View ArticleBifu la Waigizaji Kati ya Flora Mvungi na Nisha Lafika Pabaya
Stori: Gladness MallyaWASANII wawili waliowahi kuwa marafiki wa kupika na kupakua, Flora Mvungi na Salma Jabu ‘Nisha’ bifu lao sasa limefika pabaya baada ya hivi karibuni kuwaacha watu midomo wazi kwa...
View ArticleShehe: Aunt Ezekeil Hana Ndoa Tena Kwa Mujibu wa Dini ya Kiislam
Stori: Gladness Mallya na Chande AbdallahSHEIKH Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa ameweka wazi kuwa msanii nyota wa filamu, Aunt Ezekiel ambaye aliolewa na Sunday Demonte hana ndoa kutokana na...
View ArticleAliyemchapa Raila Odinga Bakora za Matako Ashitakiwa
MWANAMUME aliyemshambulia kiongozi wa Cord, Raila Odinga na Gavana wa Jimbo la Kwale, Salim Mvurya ameshtakiwa juzi katika mahakama ya Kwale nchini Kenya.Bwana Lengo Karisa Mudzomba (40), alishtakiwa...
View ArticleShikamoo Wasanii wa Bongo, Naomba Mnijibu Maswali Yangu
1.Mimi nashindwa kuwaelewa kabisa, Hivi ni kweli nyie ni mambo safi? Yaani hela mnazo za kutosha au wanawazushia?2.Hivi ni kweli zile picha za uchi ninazo ziona kwenye mitandao ya kijamii na magazeti...
View ArticlePozi za Picha za Director Mkubwa wa Video Bongo Zaleta Utata Huko Instagram..
Haya mambo ya instagram sasa sijui ndo coming out the closet au ndo tunaenda sambamba na kina lulu kwa mwendo wa WCW wtva! Jack Wolper upo hapo? Ma selfie hayooo. innanilah......koh!Soma Comments za...
View ArticleAlikiba Yuko Wapi..Team Kiba Mko Wapi Mbona Kimya ?
Jamani wale Team Alikiba vipi tena mbona Kimya, Hatumsikii Kabisa Kiba Tena si mlisema Amerudi Upya Kukufuta Kiti chake Mavumbi na KukikaliaHabari ya mwana imeishia wapi?Tupeni Update yupo wapi? Show...
View ArticleClouds FM Wamshindwa Kumtumia Diamond Kwenye Show zao za Fiesta
Wakati wasanii wakibongo kwa ujumla wao wakihangaika na shoo za Fiesta msimu huu, Diamond ameendelea kujidhihilisha kwamba ni msaanii mkubwa sana kiasi cha jamaa wa Clouds Entertainments kushidwa...
View ArticleChenge: Asilimia 75 ya mapendekezo ya Katiba Mpya ni ya Tume
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge la Katiba, Andrew Chenge amesema Katiba inayopendekezwa imebeba asilimia 75 ya maudhui ya Rasimu ya iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.Chenge alitoa...
View ArticlePicha Instagram: Hamisa Mabeto Atupia Picha Zilizoleta Gumzo na Kuwaacha Watu...
Wengi sana wamekoment kuhusiana na staa huyu kutupia picha na hili vazi…..Hebu toa maoni yako wewe unasemaje – vazi hili lipo vipi kwa maadili yetu? Na wakati huo huo juzi tu amemtambulisha Mpenzi wake.
View ArticleKimenuka! Kajala Amshitaki Mama Wema, Kisa Kamili Kiko Hapa
KIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka!Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe...
View ArticleAmber Rose Kaitaja Sababu Nyingine ya kuachana na Wiz Khalifa, Picha ya...
Kuvunjika kwa ndoa ya mastaa Amber Rose na Wiz Khalifa kumeendelea kuchukua nafasi kwenye headlines za dunia na hii ni baada ya Amber kutaja chanzo mojawapo cha kuvunjika kwa uhusiano huo.Kwenye...
View ArticleSitta Akalia Moto, Apambana na Viongozi wa Kikristo
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amejiweka katika wakati mgumu kwa kuzua mgogoro mpya dhidi ya viongozi wa dini ya Kikristo, baada ya kuita waraka wao kuwa ni wa kipuuzi na wa...
View ArticleMwanasheria Mkuu Z’bar akataa rasimu ya Sitta, Wenzake wamwita UKAWA, Wataka...
MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, jana alinusurika kupigwa na wajumbe wenzake wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya mwanasheria huyo kupiga kura ya wazi ya “hapana,” kukataa rasimu ya...
View ArticleMatokeo ya Katiba Mpya Haya Hapa, Ukawa Kubalini Matokeo Tujenge Nchi
Matokeo ya Katiba Mpya ndio haya, imepita!, japo Watanzania tulitaka "Katiba Bora", lakini BMK Imetupatia "Bora Katiba!", if you can't get what you want, just take what you get!, hivyo natoa wito kwa...
View Article