$ 0 0 Wengi sana wamekoment kuhusiana na staa huyu kutupia picha na hili vazi…..Hebu toa maoni yako wewe unasemaje – vazi hili lipo vipi kwa maadili yetu? Na wakati huo huo juzi tu amemtambulisha Mpenzi wake.