![]() |
Udaku Team |
Katika miaka hiyo miwili tumepitia mengi sana kufikia sasa blog inatembelewa na watu zaidi ya 200,000 kwa siku na toka ianzishwe imefikisha visitors zaidi ya Millioni 48 na kwa sasa ni moja ya blog maarufu hapa Tanzania...Asante Sana Kwa Kuwa Nasi Muda Wote huo..Keep it Locked