Mkongo wa Wolper: Namtaka "LULU" Kwa Gharama Yoyote
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwami inayosaidia watu wasiojiweza na yatima , inayofanya kazi nchi za Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC ) , Mwami Rajabu ‘ Mkongo ’ ameibuka na madai mazito...
View ArticleWasanii Waliopotelea "Majuu" Kuna Faida Yoyote b na Mbona Hatuwasikii Tena ?
Kuna kumbukumbu za vijana mbalimbali ambao kutokana na maisha yalivyowaendea hapa nyumbani waliamua kutorokea ughaibuni.Niwengi sana watu waliotorokea nnje.Kwa kumbukumbu zangu nawakumbuka vijana au...
View ArticleEbola Tena Marekani ..Daktari Aliyekuwa Akimtibu Yule Mgonjwa wa Ebola...
Mfanyakazi aliyemtibu mgonjwa wa Ebola Thomas Eric Duncan nchini Marekani kabla hajafariki ameripotiwa kukutwa na virusi vya Ebola kutokana na utafiti wa afya aliofanyiwa ambapo kwa sasa amewekwa...
View ArticleMchekeshaji Kansiime Kutoka Uganda Umuonyesha Mpenzi Wake
Ni mchekeshaji wa Uganda ambae tumekutana na video zake fupifupi nyingi sana kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram, facebook na hata tumekua tukirushiana Whatsapp.Kwenye upande wake wa pili kama...
View ArticleUdaku Specially Blog Yafikisha Miaka Miwili ..Udaku Team Ina haya ya Kusema...
Udaku TeamTeam ya Udaku Specially Blog Inapenda kutoa shukrani za Dhati Kwa Watembelea wa Blog hii Kwa Kutufikisha hapa tulipo leo Ambapo Blog inatimiza Miaka Miwili rasmi Toka ianzishwe mwaka 2012...
View ArticleWaziri Mh. Lazaro Nyalandu Afungukia Madai ya Kutoka Kimapenzi na Aunt Ezekiel
Juzi gazeti moja la habari za mastaa nchini liliandika kuwa ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni mbunge na waziri wa maliasili na utalii nchini na Faraja Kota ambaye ni mshindi wa taji la Miss...
View ArticleDiamond Platnumz Afunguka Kiundani Juu ya Tetesi za Kuwa na Ugomvi na Ali kiba
Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za...
View ArticleMwanamke Kalio Bwana, Kama Sura Hata Mbuzi Anayo
Nimekutana na hii Mahali:"Mwanamke mwenye kalio halali na njaa hapa town hata awe na sura mbaya vipiHakuna mwanaume atakayegeuka nyuma kumuangalia mwanamke mwenye sura nzuriSiku zote wanaume wanageuka...
View ArticleUsiruhusu Mumeo Afanyiwe Masaji na Mwanamke Mwenzio
Inabidi sasa wanawake tuanze kuwapa somo wenyewe manake inaonekana hamfundishani kabisa. Sababu kila kukicha Mambo ni yale yale.Wanawake mmekuwa na tabia mume akikueleza anajisikia vibaya,mwili...
View ArticleKizungumkuti:Utata Kura za Wajumbe wa Bunge la Katiba Waliokwenda Hijja
Utata umezidi kugubika kura mbili zilizowezesha kupitishwa kwa Katiba Inayopendekezwa ambayo wiki iliyopita ilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini...
View ArticleLaana za Ngoma za Vigodoro Bado Zaendelea Wamama Watu Wazima Washindana Kuvua...
MAADILI YA MTANZANIA YANAPOROMOKO.WANAWAKE watu wazima'Miji Mama' mwishoni mwa wiki iliyopita ilimwaga radhi hadharani eneo la Msamvu Magodolo jirani na kiwanda cha Komoa.Miji Mama hiyo ambayo baadhi...
View ArticlePICHA:Trafiki Apokea Kichapo Ubungo Mataa
Dah Mwezi huu ni mwezi mgumu sana kwa hawa ndugu zetu wa usalama barabarani..Achiliambali wale ndugu zetu waliofukuzwa kazi..Leo hii majira ya mchana hapa mjini Dar es salaam, eneo la BUNGO mataa, Raia...
View ArticleWanawake Wenye Hips na Shida Wanazokabiliana Nazo Kila Siku
Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo,...
View ArticleMatamshi ya Chris Brown Kuhusu Ugonjwa wa Ebola yanakera
Mwimbaji mashuhuri duniani ,Chris Brown ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter Jumatatu kuhusu ugonjwa wa Ebola na kutoa maoni yake.''Sijui , lakini nadhani Janga la Ebola ni njia moja ya kudhibiti...
View ArticleHabari ya kufukuzwa kwa askari polisi wa usalama barabarani wiki iliyopita...
Hii ni habari iliyoandikwa kwenye website ya BBC.When is it OK to kiss a colleague? Two Tanzanian police officers, whose kiss was widely shared on social media, have prompted a discussion about just...
View ArticleHussein Machozi Asema Wimbo Wake wa Mdogo Mdogo Aliurekodi Kabla ya Diamond...
Week iliyopita Mtandao Maarufu wa Kenya unaitwa Ghafla ulitoa wimbo ambao unaitwa Mdogo mdogo wa Hussein Machozi Ambao kidogo Umefanana na ule wa Diamond wa Mdogo mdogo Kimahadhi ...Hussein Machozi...
View ArticleShirika la Ndege la Fast Jet Lalamikiwa Kuwa ni Kimeo, Wateja Walalamika
Stori: Ojuku AbrahamSHIRIKA la Ndege la Fast Jet linalotoa huduma ya usafiri wa anga katika baadhi ya mikoa ya Tanzania na nje ya nchi, limelalamikiwa na wateja wake mbalimbali kutokana na jinsi...
View ArticleDiamond Platnumz Apata Aibu Nyingine, Dodoma Napo Pamnukia Afanya Show na...
Stori: Richard Bukos, DodomaKWELI ni aibu nyingine! Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Jumamosi iliyopita alikumbwa na aibu nyingine kufuatia onesho lake kufanyika ndivyo sivyo na hivyo kuzua...
View ArticleWagonjwa wa Akili walala Wodi Moja na Wagonjwa wa Kawaida
Hospitali kongwe ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, inakabiliwa na upungufu wa wodi za kulaza wagonjwa na kulazimika kuwachanganya wagonjwa wenye matatizo ya akili na wale wenye maradhi...
View ArticleFamilia ya Mwal Nyerere yasusia Maadhimisho ya Nyerere Day-Tabora
Mmoja wa watoto wa Mwal. anasema hakuna dhamira ya dhati ya kumuenzi Mwal. Nyerere, kwani siku ya maadhimisho watu wanazihusisha na uzimaji wa Mwenge."Tumeamua kumuenzi hapa hapa Nyumbani" Alisema
View Article