Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109623

PENNY ATOA YA MOYONI "SINTA MKASHIFU DIAMOND HATA KAMA HAYUPO NA MIMI"

$
0
0
MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa a.k.a Penny
Ambaye ni zilipendwa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ amesema katika maisha yake haitatokea akamdharau kwa kumkashifu hata kama si wake tena.

Akipiga stori na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki dhidi yao.

“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,” alisema Penny.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109623

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>