KUHUSU TAARIFA YA JOHN MNYIKA KUJIUZULU
Jana mitandao ya kijamii ilijazwa taarifa kwamba jana jioni, John Mnyika (Mb) alimwandikia barua ya kujiuzulu Katibu Mkuu wa CHADEMA.Ofisa Habari Mwandamizi wa CHADEMA, Tumaini Makene (0752 691569)...
View ArticleMASOGANGE: NAOGOPA MUME WA MTU
Na Imelda MtemaVIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu.Akizungumza na paparazi wetu, Agnes...
View ArticleAL SHABAAB WAPIGA MARUFUKU WANANCHI WA SOMALIA KUTUMIA INTERNET NCHINI HUMO
Wanamgambo wa Al Shabaab wenye uhusiano na Al-Qaeda, wamesema kuwa wamepiga marufuku raia wanaoishi katika maeneo wanayodhibiti kutumia internet.Wapiganaji hao wametoa onyo kwa kampuni zote zinazotoa...
View ArticleISABELA" AMROPOKEA SINTAH KWA KUPENDA KUFATILIA NA KUCHUNGUZA MAISHA YA WATU
ISABELA Mpanda ambaye ni mwanamuziki na muigizaji wa filamu nchini ameonekana kuwa katika beef na Sintah kwa kumchana live kupitia mtandao mmoja wa kijamii. Hata hivyo sababu ya Bella kumtolea uvivu...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA CHINA HAUNA TAARIFA ZOZOTE KUHUSU KUKAMATWA JACK CLIFF NA...
Mwezi December 2013 taarifa zilitoka kwamba kuna binti wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 aliekamatwa na dawa za kulevya huko Macao China ambapo baadhi ya taarifa zilizoripotiwa na Waandishi wa...
View ArticleMOTO WAMWAKIA PROFESA TIBAIJUKA NI BAADA YA KUZOMEWA NA WANANCHI
Viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati wa masuala ya ardhi, wamesema kuzomewa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ni matokeo ya makosa yanayowafanywa na...
View ArticleZITTO "SITAKI MALUMBANO NI MUDA WA KUTUMIKIA WAPIGA KURA SASA"
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuanzia sasa hataki malumbano na mtu. Kauli ya Zitto, imekuja siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupiga marufuku chombo...
View ArticleMASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK
VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’.Wawili hao walibambwa...
View ArticleSANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE
Stori: Mayasa MariwataSTAA wa filamu Bongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema kuwa tangu ajiunge Bongo Movie hakuna manufaa aliyoyapata kwa kuwa chama hicho kinaendekeza ubaguzi kwa kuthamini rushwa ya...
View ArticleNI NOMA! WEMA APOST VIDEO YA DIAMOND AKIWA KITANDANI KIFUA WAZI
Leo mwanadada wema sepetu amezidi kuudhihirishia ulimwengu wa fans wake kuwa kijana raisi wa wasafi aka Diamond Platnumz ndio mahabuba wake baada ya kupost video ya mwanamuziki huyo akiwa kitandani...
View ArticlePENNY ATOA YA MOYONI "SINTA MKASHIFU DIAMOND HATA KAMA HAYUPO NA MIMI"
MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa a.k.a PennyAmbaye ni zilipendwa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ amesema katika maisha yake haitatokea...
View ArticleMOYES SIO KOCHA SAHIHI WA MAN UNITED
Kwanza ni declare interest mimi ni shabiki wa man u na haya ninayoongea hapa ni kwa mtizamo wangu sio lazima ufanane na wa kila mtu.Nionavyo mimi moyes sio kocha sahihi wa man utd na timu isipoangalia...
View ArticleYAYA TOURE AULA ACHAGULIWA KUMWA MWANASOKA BORA 2013
Mchezaji wa Manchester City ambaye pia hucheza nafasi ya kiungo cha kati katika timu ya Ivory Coast, Yaya Toure ndiye mwanasoka bora zaidi mwaka 2013 barani AfrikaToure alikabidhiwa tuzo la (caf) mwaka...
View ArticleMSAADA WAHITAJIKA..JINSI YA KUACHA KUPIGA PENYETO KWA MSICHANA
Habari zenu wana MMU. Poleni na uchovu wa kazi. Mimi ni mdada nimezoea sana huu mchezo wa punyeto kwa sababu sipendi kuwa kwenye mahusiano sababu yameniumiza sana.Nikaamua kujiridhisha mwenyewe. Naomba...
View ArticleGARI AINA YA TOYOTA GAIA INAUZWA KWA BEI NAFUU ..BEI MAELEWANO PIGA SIMU...
Toyota Gaia, Silver ,1900 cc, 4WD, 8 Seater, Alloy Wheels, Low mileage, Six month valida insuarance , 1 year Road tax...Bei kuanzia Milion 9.5 Maelewano yapo piga simu 0686129299Udaku Specially Blog
View ArticleJAMAA MMOJA AFUFUKA AKIWA CHUMBA CHA KUIFADHIA MAITI
Hii ni kutoka kwa majirani zetu ambapo tunaambiwa Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya kuzinduka kwa mwanaume mmoja aliyedhaniwa kuwa amekufa ambapo alizinduka akiwa kwenye chumba cha...
View ArticleMCHUNGAJI GWAJIMA AVAMIWA NA MAJAMBZI USIKU NA KUNUSURIKA KUUAWA MARA TATU
ILITOKEA lakini haikuandikwa kwa sababu haikudakwa! Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lenye makazi yake kwenye Viwanja vya Tanganyika Perkas, Kawe jijini Dar, Josephat Gwajima alinusurika kuuawa...
View ArticleWATANZANIA WALIO KAMATWA CHINA NA MADAWA YA KULEVYA WAFIKIA MIA NA KITU
Ni taarifa nyingi ambazo zimekua zikipokelewa na Watanzania kupitia Magazeti, mitandao na hata redio wakati mwingine ambapo moja ya stori ambazo siwezi kuzisahau kwa 2013 ni ile ya Watanzania hamsini...
View ArticleTETESI ZA MIMBA YA NICK MINIJ NI YA LIL WYNE..SOMA ZAIDI
Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine bali Lil Wayne. Nicki minaj alionekana akiwa na kitumbo kidogo...
View ArticleBATULI AWEKA WAZI "SIPO KWENYE MAHUSIANO YOYOTE I'M STILL SEARCHING"
Akizungumza na mtandao wa Swahiliworldplanet, Batuli amesema ingawa yupo ‘single’ mwaka huu anatarajia kwenda kusoma ili kuongeza maarifa.“Sipo kwenye mahusiano bado nipo single and I’m still...
View Article