Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109450

MZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII WASIOPENDA KUSHIRIKI KWENYE MATATIZO YA WENGINE

$
0
0
MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku itawaponza.

Akizungumza na mwandishi wa GPL hivi karibuni katika mahojiano maalumu, Chilo aliyejizolea heshima na umaarufu mkubwa katika fani hiyo, alikiri kuwa wasanii wengi wamekuwa wakijitenga na wenzao wakati wa matatizo jambo ambalo linakera na kuumiza.

Msanii huyo alisema hakuna binadamu anayejua hatima ya maisha yake hapa duniani, hivyo ni vyema kuishi katika mwenendo ulio mzuri, kwani watu wote ni udongo na mavumbini watarejea

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109450

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>