GAZETI LA NEW YORK TIMES LATAJA MJI WA DAR ES SALAAM KUWA NI MJI KATI YA MIJI...
The New York Times has named Dar es Salaam among 52 places in the world to go in 2014.The American daily newspaper, which founded and continuously published in New York City since September 18, 1851,...
View ArticleHICHI NDIO KILICHO IPONZA SIMBA MPAKA KUFUNGWA KOMBE LA MAPINDUZI ZNZ
Zanzibar. Presha, pupa za kocha Zradvok Logarusic pamoja na kujiamini kupita kiasi kwa wachezaji na kukosa mipango katika safu kiungo na ushambuliaji vilichangia kuiua Simba.Simba ilikubali kipigo cha...
View ArticleMFANYABIASHARA ALEX MASAWE ADAIWA KUWA YUPO HURU
Dar es Salaam. Utata umeibuka kuhusu alipo mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Masawe baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa ameachiwa huru huko Dubai, Falme za Kiarabu (UAE) alikokuwa akishikiliwa.Masawe...
View ArticleNESI AKAMATWA NA KUSHTAKIWA KWA KUWAAMBUKIZA WATOTO WACHANGA UKIMWI
Add captionRosemary Namubiru, 64, was produced before Buganda Road Court to answer to charges of attempted murder. She denied the chargesChief Magistrate Olive Kazaarwe sent her to Luzira prison until...
View ArticleWALE WAUMINI WA KANISA LA WALA MAJANI SASA WAKIONA CHA MOTO- WATAPIKA NA...
Waumini wa Mchungaji Daniel walijikuta wakianza kuumwa mara baada ya Mchungaji huyo kuwafanya wale wale majani.Picha zinazofuata zinaonyesha watu tofauti wakiwa wagonjwa kwenye vyoo - picha za vyooni...
View ArticleBAADA YA B12 NA ADAMU MCHOMVU KUTIMULIWA CLOUDS KIJANA HUYU NDIO AMESHIKA...
Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same, Kilimanjaro.HIVI karibuni, watangazaji nyota waliojizolea umaarufu mkubwa Bongo kupitia Redio Clouds FM, wakitangaza kipindi cha XXL, Hamisi Mandi ‘B12’ na Adam...
View ArticleMASKINI MWIMBAJI RICH MAVOKO APATA PIGO
Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father…...
View ArticleMZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII WASIOPENDA KUSHIRIKI KWENYE MATATIZO YA...
MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku...
View ArticleALICHOKISEMA B12 JUU YA YEYE KUSIMAMISHWA KAZI CLOUDS MEDIA GROUP
Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na taratibu za Clouds...
View ArticleADAM MCHOMVU AKANA KUFUKUZWA CLOUDS, AWATUKANA KWA KUWEKA PICHA HII. SOMA...
Huyo ndio baba Jonieeee aka Adamu Mchumvu ......
View ArticleBREAKING NEWS:LIYUMBA ASHINDA KESI
MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu...
View ArticleWEMA ANYANG'ANYWA KILA KITU, KISA KURUDIANA NA DIAMOND
Na Imelda MtemaZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyang’anywa samani za ofisi yake ya Endless...
View ArticleUKITAKA USIMEGEWE HAKIKISHA UNAMPA MPENZI WAKO MAHABA NIUE YENYEWE MAGAWATI...
Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa Mpenzi wako Mahaba-Niue Niteketeze Kabisa yenye Megawati za kumtosha kuendesha Mitambo ya Furaha kwenye Moyo wake...Ukishindwa kumpatia lazima atakutafutia Jenereta...
View ArticlePICHA:KOMANDO WA TANZANIA AKIVUNJA TOFALI LA NCHI SITA KWA KUTUMIA KICHWA..NOMA
Komandoo akivunja tofali kwa kichwa kwenye uwanja wa Amani siku ya kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
View ArticleKASHFA YA UZINZI..LISSU AMSAFISHA MBOWE
KATIKA kile kinachoonekana kama kumsafisha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe dhidi ya kashfa ya uzinzi inayomuandama.Mwanasheria Mkuu wa chama hicho,...
View ArticleHII PICHA KILA NIKIIANGALIA NAPATA WOGA ...HAWA WATU WALICHUKULIWA HATUA GANI?
Hapa tunamuona Mh. Ismail Aden Rage, Mbunge wa jimbo la Tabora mjini kupitia CCM akiwaongoza viongozi mbali mbali wa CCM kumshambulia mpinzani wao wa kisiasa kutoka Chadema kwa silaha yoyote ile iliyo...
View ArticleRAYUU ASEMA MANENO MAZITO YA KWAMBA, "KINGWENDU ANAKILA SIFA YA KUWA MUME...
MSANII wa kike wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kwa kusema kuwa mwanaume sahihi kwake na anayestahili kumuoa ni Rashid Mizengwe ‘Kingwendu’ kwa kusema anaamini ndiye anaweza kuwa...
View ArticleMWANAMUZIKI WA TANZANIA AONGOZA KWA NYIMBO ZAKE KUDOWNLOADIWA SANA KENYA
Mdundo has announced its first quarter of royalty payments 2014 and surprisingly, Tanzanian hip hop heavyweight Nikki Mbishi holds the very top spot as the most downloaded artiste on the Kenyan Music...
View ArticleNILIUA NA KUULA MGUU WA BINADAMU KULIPIZA KISASI CHA MKE WANGU
Huku hali ya taharuki ikiendelea kutanda kati ya jamii za waisilamu na wakristo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, BBC imegundua mambo ya kutisha yanayofanyika mjini Bangui, mji mkuu wa taifa...
View ArticleMWIGULA NCHEMBA AMKALIA KOONI MBOWE "MBOWE HAFAI KUWA KIONGOZI WA KAMBI YA...
Kumekwepo na jitihada ama za makusudi, ama za kutokujua, ama za kile kinachoitwa kumsafisha mbowe. Niweke wazi kwamba sikumkosoa mbowe kuhusu mambo ya mahusiano anayosemekana kuwa nayo na wabunge wake...
View Article