USHAURI kutoka kwa King Zilla wa Salasala Unapogombana au anapokukosea girlfriend wako au boyfriend (mpenzi,mwenza) ,usimshtakie kwa wazazi wako sababu baadae mnaweza mkasamehana kwa misamaha ila wazazi wako hawawezi kumsamehe. Jifunze kutatua matatizo we mwenyewe.