$ 0 0 Sikiliza wimbo mpya toka kwa wakali wa Viburi Flow, Weusi. Nikki wa Pili amesema wimbo huu unaoitwa Gere umefanywa na Nahreel kwa asilimia 80 na Chizan Brain amemalizia asilimia 20.