Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASTARA: NIKIKUMBATIWA NAKUWA HOI

Na Gladness MallyaMSANII wa filamu, Wastara Juma amefunguka kuwa starehe yake kubwa duniani ni kukumbatiwa na anapofanyiwa kitendo hicho na mtu wa jinsia yoyote huwa hoi.Akistorisha na paparazi wetu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA SHILOLE-CHUNA BUZI

Baada ya nakomaa na jiji ...Shilole aachia Chuna buzi..Sikiliza ama download hapa chini:

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANGAZAJI WA TELEVISHENI YA EAST AFRICA(EATV),KEN KIDAGO AFARIKI DUNIA

Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha East Africa aliyekuwa akifanya kipindi cha 5 sports, Ken Kidago amefariki dunia.Taarifa ambazo pia zimethibitishwa na mmoja wa wafanyakazi wa kituo hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGELINA JOLIE AONYESHA WIVU LIVE BAADA YA MUMEWE BRAD PITT KUWA KARIBU NA...

Katika kipindi cha hivi karibuni, mrembo wa Kenya Lupita Nyong’o ameipeperusha vyema bendera ya nchi yake kwa kuteka vichwa vingi vya habari akiwa anang’aaa katikati ya mastaa wa Hollywood baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA JOH MAKINI, NIKKI WA PILI NA G-NAKO-GERE

Sikiliza wimbo mpya toka kwa wakali wa Viburi Flow, Weusi. Nikki wa Pili amesema wimbo huu unaoitwa Gere umefanywa na Nahreel kwa asilimia 80 na Chizan Brain amemalizia asilimia 20.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GRAMMY:KENDRICK LAMAR AZUNGUMZIA USHINDI WA MACKLEMORE, ATOA USHAURI KWA...

Baada yakushuhudia tukio la utoaji tuzo za Grammy mwaka huu lililofanyika January 26, ulimwengu wa muziki hasa wa hip hop ulipaza sauti nyingi na minong’ono kuhusu ushindi wa Maclemore & Ryan Lewis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA GARI MAENEO YA KARIBU NA ZANTEL JIJINI DAR

Gari ndogo aina ya Toyota Corolla lenye nambari za Usajili T 379 AGL, likiwa ndani ya mtaro mara baada ya kupoteza mwelekeo wakati likiwa kwenye Mwendo mkali. Tukio hililimetokea mchana huu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: ASKARI WATANO WAFARIKI DUNIA

Na: Halima KiondoKwa taarifa zilizotufikia HIVI PUNDE. Askari WATANO wafariki papo hapo baada ya bus aina ya Mohamed Trans, kugongana uso kwa uso na gari ndogo aina ya Toyota Corola iliyokuwa ikitokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA JOHARI AMFUMUA RAY NA KUMCHAMBUA KAMA KARANGA

Stori: Mayasa mariwata,Shani ramadhani.Makubwa! Kwa mara kwanza mama mzazi wa mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini ameibuka na kumfumua staa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKONGWE AKAMATWA CHUMBANI KWA MTU AZANIWA KUWA NI MCHAWI-PICHA

Hili ni tukio lilitokea huko Bukoba ambalo linamhusisha Kikongwe mmoja ambaye jina lake bado halijapatikana kukutwa chumbani kwa mtu huku akiwa mtupu chumbani kwa mtu.Mpaka sasa bado haijajulikana kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITA KATI YA MALECELA NA LOWASSA NI YA MUDA MREFU...SIRI YA UTAJIRI WA...

Tokea enzi ya uhai wa Julius Kambarage Nyerere Faili la LOWASA kufahamika kuwa na utajiri wa kutosha linafahamika sana,na haijaanza leo kwa Lowasa kusemwa na kupewa shutuma kama hizo wala hazikuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARLAW:SINA MPANGO WA KUSHIRIKI KAMPENI ZA KISIASA TENA..ZIMENISHUSHA KIMUZIKI

Msanii aliyepata kuvuma sana kabla ya mwaka 2010 alimaarufu kwa jina la Marlaw, amejutia uamuzi wake wa kukipigia kampeni chama cha ccm kwani kimemporomosha kimuziki."Unajua mimi mwaka 2010...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SLAA:TUNAHITAJI MWAKA MMOJA TU KUIGEUZA TANZANIA IWE NCHI YA VIWANDA

Akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Simiyu Dr Slaa amesema haoni sababu Tz kuwa hatuwezi hata kutengeneza kishikizo nakuviagiza nje.Amesema haoni sababu nchi hii kuwa na viwanda vingi vikiwepo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMES FM WAPIGWA FINE BAADA YA DIDA KUGEUZA KIPINDI KUWA CHA UGOMVI BINAFSI...

Kamati ya Maadili ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) imekitaka kituo cha Radio Times FM ya Dar es salaam kuomba radhi mfululizo siku tatu na kumlipa tsh 500,000 msanii wa Taarab, Karya Temba baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN UTD KAMA KAWAIDA YAO, WALALA 2-1 KWA STOKE CITY

Mmmmh Jamani mie sio mshabiki wa Mpira kiivyo ila navyoona na ninavyosikia kila kona Man u jumba limewaangukia mwaka huu kila siku wakicheza lazima wapigwe 2 something ....mmmh wanahitaji maombi tena...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WAMETAFUNA FEDHA ZA BANK YA DUNIA, ASEMA DK SLAA

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amedai kuwa  baadhi ya viongozi wa Serikali wamegawana na kutafuna fedha zilitolewa na Benki ya Dunia, ili kugharimia miradi ya kuchimba visima 10  vya maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA KIONJO CHA WIMBO MPYA WA BARNABA BOY-JASHO LA MNYONGE

Barnaba ni Mwanamuziki ambae mimi pekee namkubali kuliko wanamuziki wote wa bongo flava ana kipaji kikubwa sana cha kuimba na kupiga vyombo....Sikiliza kionjo cha wimbo wake mpya anaotarajia kuutoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPANDAGA GARI YA HUYU DADA MARA NYINGI, ILA NGUO ANAZOVAAGA HUNIFANYA...

Tunaishi wote mtaani hivyo mara nyingi tu hunipaga lift nikiwa labda natoka kazini au nikiwa naelekea kazini, wakati mwingine akiwa mjini hunipigia simu ili turudi wote mtaani ila niko na wakati mgumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MALECELA NA PAUL MAKONDA WAOMBE RADHI KWA VIONGOZI WA DINI NA KWA LOWASSA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAREHE 1 FEBRUARI 2014MZEE MALECELA NA PAUL MAKONDA WAOMBE RADHI KWA VIONGOZI WA DINI0.1 Kitendo alichokifanya hivi karibuni Ndugu Paul Makonda Katibu wa Chipukizi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FORBES MAGAZINE REVEALS MO AND MAKAMBA JR AMONG 10 POWERFUL MEN IN AFRICA 2014.

Mohammed Dewji, Tanzania, Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania LimitedDewji is the Group Chief Executive Officer of Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) and at 39 is...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>