$ 0 0 Si vibaya, siku moja ukikaa na umpendae na kumwambia asante kwa yote alokufanyia, mko wote long time mnapendana, mnaheshimiana, hayo ni maneno ya AY yakisikika kwenye intro ya wimbo wake Brand new aliouachia