Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109450 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAY WA MITEGO NA MPENZI WAKE MAMBO MOTO MOTO AMNUNULIA MKOKO WA NGUVU

 True Boy Aonyesha upendo alio nao kwa mpenzi wake kwa kumnunulia gari .....check hapa chini:

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARUSHWA GOROFANI BAADA YA KUFUMANIWA AKIFANYA MAPENZI

Mzee mmoja mwenye hasira kali, Deji Kamoru, amejikuta akitiwa mbaroni baada ya kumfuma binti yake Aishat chumbani kwake na kuuamua kumrusha kupitia dirishani ghorofa ya 3, mkasa huo kwa mjibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA AKIRI UCHAWI UPO BAADA YA KUPIGWA JUJU NA KUSINGIZIWA KUJIUZA

Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mambo yaliyomtokea hivi karibuni haelewi hata imekauje.Chanzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU AWASHANGAA WANAO MPONDA JOKATE..

Mwigizaji Wema Sepetu, amewashangaa wanaomponda Jokate Mwegelo kwa kumaliza tofauti baina yao akisema kuwa hawatendi haki na wanaingilia uhuru wa wasanii hao.Kauli ya Wema imekuja siku chache baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA YA TANZANIA YACHAFUKA NCHINI UINGEREZA

Wakati Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kwenda London Uingereza kuhudhuria mkutano wa kuokoa viumbe vilivyo hatarini kutoweka duniani ukianza wiki hii, tatizo la ujangili limeweka wingu zito kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATHMINI YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MADIWANI BAADA YA CCM KUIBUKA KIDEDEA JANA

Hakika nimepata mshituko mkubwa kuona matokeo ya uchaguzi wa udiwani katika kata mbalimbali yameenda ndivyo sivyo kwa upande wa chadema. Katika kata 27 ukitoa 1 zinabaki 26.Katika kata hizi CHADEMA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI SAHIHI KUMUOA X-GIRL WA RAFIKI YAKO WA KARIBU

Nilitokea kumpenda sana binti mmoja lakini sikuwa na uwezo wa kuingia kwenye uhusiano naye kipindi hicho na najua alijua kuwa nampenda lakini kulikuwa na vizuizi flani flani.Binti alikuwa anakaa hostel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIO TANGAZA NIA CCM KIKAANGONI

Baadhi ya makada wa CCM ambao wataitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, wanakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa kwa lengo la kushawishi kukubaliwa kwao, Mwananchi limebaini.Makada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOKATE AFICHUA SIRI YA KUPATANA NA WEMA

THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua siri ya kupatana na Wema Isaac Sepetu akisema kuwa sababu ya yeye kuonekana kwenye jukwaa moja na aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PENZI LA RAY NA CHUCHU SI SIRI TENA...WENYEWE WAITANA BABY FACE

Penzi kati la waigizaji wawili maarufu ndani ya bongo movie, Vicent Kigosi – Ray na Mwanadada Chuchu Hans limekuwa sio siri tena baada ya hivi majuzi mwanadada Chuchu hans kuweka picha mbalimbali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU AAMUA KUVUNJA UKIMYA BAADA YA STORY KUSAMBAA KUWA KAPATA MCHUMBA

BINTI anayeshikilia Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike ya Ziff 2013, Elizabeth Michael maarufu Lulu ameweka wazi kuwa amepata mchumba na kwamba taratibu za kujitambulisha na mahari vitafuata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLYNN AWEKA PICHA YA FAMILIA YAKE MTANDAONI..ATOA UJUMBE MZITO

 See beautiful Message to her Family ...Very Niceeee

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAY AFUNGUKA"MASHABIKI WANGU MNANICHANGANYA HIVI MNATAKA NIWE MNENE AMA...

 Ray C aomba Ushauri ....Embu Soma Message yake hapa chini:

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAYDEE AOMBA USHAURI KUBADILISHA JINA LA BAND YAKE, HATAKI TENA MACHOZI

Muimbaji wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee afikiria kubadilisha jina la band yake kutokana na machozi yaliyokuwa yakimliza kipindi hicho yameshafutika.Amefikiria kubadilisha jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA AY-ASANTE

Si vibaya, siku moja ukikaa na umpendae na kumwambia asante kwa yote alokufanyia, mko wote long time mnapendana, mnaheshimiana, hayo ni maneno ya AY yakisikika kwenye intro ya wimbo wake Brand new...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MELI ILIYONASWA NA ‘UNGA’

Stori:  Waandishi WetuWIKI iliyopita Jeshi la Polisi Kikosi Kazi cha Wanamaji Tanzania, walikamata shehena ya madawa ya kulevya ‘unga’ wenye thamani ya mabilioni ya shilingi zikiwa ndani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEE.... VIP TENA MCHUNGAJI MASANJA MKANDAMIZAJI NA DEMU WA PREZZO

Masanja Mkandamizaji Akiwa na Starlisha Aka Chaggabirbie....Wamependezajeee....Mwee Prezzo Akizengua Masanja Kamata mzigo ..hahaha

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE"CHADEMA NI MZIGO KWA TAIFA"

Chama ca Mapinduzi (CCM) kimewashukuru watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika katika kata 27 na kushinda kata 23.Kimesema siri ya kuimwaga CHADEMA ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEVE NYERERE"WASANII WENGI WA BONGO MOVIES HAWAJITAMBUI"

Mwenyekiti wa kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ amesema wasanii wengi wa filamu hawajitambui, mbumbumbu na wabinafsi katika kila kitu, jambo linaloleta ugumu katika harakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKWELI KUHUSU TELEX FREE KUTOKA WIKIPEDIA..BRAZIL KIMENUKA

Mimi sina mengi wala siandikii mate Mange Jana Kaandika about TelexFree Watu wamemjia juu kuwa ni uongo ..ila ki ukweli hiyo Kitu ina walakini ....Embu jisomee hapa kutoka Wikipedia..Jinsi...

View Article
Browsing all 109450 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>