$ 0 0 Ile single iliyokuwa ikisubiriwa kwa ham , leo hii imedondoka kwenye maskio yako.Mkali wa R&B kipenzi cha akina dada, Ben pol leo hii ameachia mzigo wake mpya chini ya mkono wa producer Fundi Samweli "Unanichora" akiwa na Joh Makini