YA MOYONI KUHUSU MANCHESTER UNITED..........
Habari zenu mashibiki wote wa Man U na wadau wote wa soccer,Awali ya yote naomba ni declare interest, mi ni die hard Man U fan, nina zaidi ya mapenzi na timu hii mi nina mahaba na timu hii. na...
View ArticleURAIS 2015:LOWASSA, SUMAYE, MEMBE, MAKAMBA NA WASIRA WAITWA KUHOJIWA
Vigogo wanaowania au wanasemwa kuwa wameanza kampeni za urais 2015 sasa wameandikiwa barua na kuitwa ili kuhojiwa na kamati ya maadili juu ya dhamira yao.Dar es Salaam. Baadhi ya makada wa CCM ambao...
View ArticleWADADA MMEZIDI SASA...KHAAA
Kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula aafu tukaagana....
View ArticleBEN POL ATOA WIMBO ALIYOMSHIRIKISHA JOH MAKINI..UNANICHORA..SIKILIZA NA...
Ile single iliyokuwa ikisubiriwa kwa ham , leo hii imedondoka kwenye maskio yako.Mkali wa R&B kipenzi cha akina dada, Ben pol leo hii ameachia mzigo wake mpya chini ya mkono wa producer Fundi...
View ArticleFUKWE ZA TANZANIA NI UCHOCHORO WA DAWA ZA KULEVYA
Wakati vita ya kupambana na biashara ya dawa za kulevya ikiendelea nchini, wasafirishaji wa dawa hizo wameanza kutumia fukwe ndogondogo za bahari nchini kuziingiza kutoka Mashariki ya mbali, gazeti...
View ArticleBILIONEA DAR ADAIWA KUTUMIA MABUNSA WAKE KUMLAWITI MWAJIRIWA WAKE.
Ni Ally Awadh wa kampuni ya mafuta ya Lake OilAtuhumiwa kumfanyia unyama mtumishi wakePolisi Oysterbay, Kanda Maalumu wamgwayaJumanne, Februari 11, 2014Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameamua “kujipima...
View ArticleRAY AVUNJA UKIMYA"NIMEMISS KUWAKATIA VIUNO MASHABIKI WANGU STEJINI"
Ray C ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameahidi kurudi kazini (kwenye muziki) muda si mrefu sababu hata yeye ameimiss mic na jukwaa, “Naimiss steji vibaya mno!!!!” ameandika Ray C katika...
View ArticleMAHAKAMA YAAMURU JENGO LINALOCHUNGULIA IKULU LIPUNGUZWE UREFU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na Msanifu Mkuu, Richard Maliyaga, kila mmoja kulipa faini ya Sh15 milioni au kwenda...
View ArticleYOUND DEE AWA MBOGO KWA ANAYE TUMIA JINA LAKE KUTAPELI WATU MTANDAONI
Kumekuwepo malalamiko mengi kutoka kwa watu maarufu kutokana na kuwepo kwa watu wanaofungua akaunti za facebook kwa majina yao na kufanya utapeli.Rapper anaewakilisha kundi la Mtu Chee, Young Dee,...
View ArticleMWANAMUZIKI T.I AMCHANA MKEWE LIVE KWENYE INSTAGRAM BAADA YA KUPOST PICHA YA...
Clifford Joseph Harris Jr. aka T.I, rapper wa Atlanta Marekani, ameshindwa kuvumilia baada ya kuona mke wake ‘Tiny’ amevuka mipaka kwa kupost kwenye Instagram mfululizo wa picha zinazoonesha makalio...
View ArticleMISS TZ AKIRI KUTEMBEA NA KONDOM KWENYE MKOBA SAA 24!
Na Jelard LucasMISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’, Amani linakupa kila kitu kinagaubaga.Salha alisema...
View ArticleLEO KUMEKUCHA KESI YA MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA NA CHAMA CHAKE MAHAKAMA KUU...
Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini alifungua kesi hiyo dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema na Katibu Mkuu wa Chadema, akiiomba mahakama hiyo ikizuie chama kujadili uanachama wake, hadi...
View ArticleHAYA SASA SEREKALI YATOA TAHADHARI KWA UPATU HARAMU KAMA ULE WA TELEXFREE
Serekali imetoa tahadhari kwa wale wanao cheza michezo ya Upatu haramu ambayo sio uwekezaji halali ...Mfano ni kama wale Deci na sasa hawa Telexfree....Niliongea kuhusu hilo kwenye makali zilizopita na...
View ArticleYANGA YAZUIWA UWANJA WA NDEGE KWA MUDA WAKAGULIWA KWA KUHISIWA NA MADAWA YA...
Leo Asubuhi Team ya Yanga Imekiona cha Moto baada ya kuzuiwa uwanja wa Ndege wa JKIA Hapa Dar Wakielekea Comoro Kwa Ajili ya Mchezo wa Marudiano ...Mtoa nyeti Amehabarisha kuwa Walihisiwa wamebeba...
View ArticleDUH..HAKIKA POMBE SIO CHAI...NJEMBA YAFANYA VITUKO HADHARANI BAADA YA KILAJI...
Jamaa atoa kali na kuwaacha watu midomo wazi kwa makeke yake..! Du! hadi Dada aliona aibu maana hakutegemea tukio hilo..! Ama kweli pombe sio chai. Kila kitu kinahitaji uzoefu, Chupa mbili tu Jamaa...
View ArticleMDAHALO WA WAZI KATI YA DR SLAA NA DR KITILA MKUMBO
Bila shaka huu ni wakati muafaka sana ambapo inafaa kuwa na mjadala wa wazi kati ya Dr. W.Slaa na Dr. Kitila mkumbo juu ya "Tanzania na siasa tunayoitaka"Nasema hivi kwa sababu, Kwa takriban miezi...
View ArticleLOWASSA, SUMAYE NA NGELEJA WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI..MEMBE AKACHA
Wadau habari zilizopo nikwamba Bernard Kamilius Membe amekacha kikao cha maadili alichotakiwa kuingia leo kuhojiwa.Habari zilizopo nikwamba Lowassa ndiye aliyefunguwa dimba lakin mpaka muda membe...
View ArticleNIKKI WA PILI ATOA DARASA..SOMA ALICHOANDIKA HAPA
Hii makala imeandikwa na rapper Nikki wa II, ukishaisoma unaweza kusema chako chochote…Anaanza kwa kuuliza >>>> thamani ya sanaa ni KIKIII? ? ?Nakutana na wasaniii wachanga wengi, Kwenye...
View ArticleZITTO AFUNGUKA KUHUSU WAFANYABIASHARA NA MASHINE ZA TRA
Hii ni Kauli ya Zitto Kabwe kuhusu madai ya Wafanyabiashara na TRA.Posted by: TZA two February 13, 2014 General News108 viewszittoMbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chadema Zitto Kabwe muda mfupi...
View ArticleAGNES MASOGANGE AFUNGUKA KUHUSU KUTONGOZWA NA WANAUME WAKWARE
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema kuwa ana mtu wake.Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni,...
View Article