Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109498

MWEE...WADAU HIVI ZILE SHULE ZA VIPAJI MAALUMU BADO ZIPO ?

$
0
0
Enzi mie nasoma palikuwa na shule za vipaji maalumu yaani tulikuwa tunasoma ili tuingie shule kama Tabora Boys,Mzumbe,Kibaha,Ilboru na Kilakala enzi izo zilikuwa ni shule maalumu kwa wanafunzi wenye akili ..aka vipaji maalumu .....na kweli yaani zilikuwa zinafaulisha balaaa....lakini siku hizi nasikia tu Marian Boys/Girls Sijui St nini mara Feza eti ndio zinaongoza kwa ufaulishaji , sasa swali langu je izo shule za vipaji maalumu bado zipo ??

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109498

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>