PIGO LA PILI KWA LOWASSA, BADO LA TATU NA LA MWISHO
"Bwana Lowassa,Nikupe pole nyingine baada ya ile ya juzi kati kukueleza vichomi ulivyotegeshewa na ambavyo vimeanza kukuchinjia baharini tena kuleeeee Nungwiiiii, Naam umepigwa kufuli kutojishughulisha...
View ArticleSIKU TATU ZA CHADEMA WALIZOMPA RAIS KIKWETE ZIMEISHIA WAPI ?
Chadema kupitia kigaila walitoa siku tatu kwa rais afute kauli yake kuwa uvumilivu kwa wanaccm sasa basi. Leo ni zaidi ya wiki moja, aona kimya. Vipi, wamesahau? Hawana la kumfanya? Wamesalimu amri?...
View ArticleHAYA NDIYO MADHARA YATOKANAYO NA NGUO ZA KUBANA (SKIN TIGHT)
Nguo za kubanaKADIRI siku zinavyokwenda kumekuwapo na ugunduzi wa vitu mbalimbali vinavyochangia kuleta mabadiliko katika jamii. Mabadiliko hayo yanaweza kuwa hasi au chanya kutegemea na aina ya...
View ArticleIF YOUR HUSBAND STRAYS, IT'S YOUR FAULT WOMAN
The recent wave of straying men is alarming. In fact, the issue of having ‘clandes’ otherwise known as ‘mpango wa kando’ has come to the attention of all such that debating about them in public and...
View ArticleWHY TANZANIA WILL SOON OVERTAKE KENYA IN CREATING MILLIONAIRES
Tanzania is creating dollar millionaires faster than any other East African country, a new report says.This means that East Africa’s newest millionaires are likely to come from Tanzania, as opposed to...
View ArticleNIMEGONGWA NA BODA BODA NIKIMSHANGAA MDADA MWENYE WOWO KUBWA
Sasa nimekuwa kama mgonjwa ,nikiona mwanamke mwenye wowo kubwa akiri yangu inaruka kabisa. Leo katika pilika pilika za kutafuta maisha nikiwa kariakoo nimegongwa na boda boda nikiwa namshangaa mdada...
View ArticleUTEUZI WA MUME NA MKE BUNGE LA KATIBA WAKIVURUGA CHAMA
Zanzibar. Sakata la Mwenyekiti wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi kudaiwa kufanya njama zilizofanikisha yeye na mkewe kuteuliwa wajumbe wa Bunge la Katiba,...
View ArticleAKAMATWA AKIDAIWA KUUZA NYAMA YA BINADAMU
Mkazi wa Kijiji cha Kihinga, Kata ya Bugarama wilayani Ngara mkoani Kagera(jina tunalo), anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi cha kata hiyo baada ya kutuhumiwa kuuza kilo moja ya nyama ya...
View ArticleHATARI:KAJALI ALISHWA SUMU, AKIMBIZWA HOSPITALINI
Mwanadada mwigizaji Kajala juzi alikumbwa na dhahama ya kusikitisha baada ya kulishwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni sumu alipokuwa kwenye show ya msanii wa muziki kizazi kipya Izzo Business...
View ArticleMREMBO AFIA GESTI ARUSHA
Stori: Joseph Ngilisho, ArushaMREMBO mmoja ambaye alihu-dumu kwenye nyumba ya kulala wageni na baa (jina tunalo) iliyopo Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Blandina Michael (33) amekutwa amekufa...
View ArticleASKOFU BILIONEA ATIKISA BONGO
Stori: Jelard LucasASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi...
View ArticleANAYEONA POSHO YA BUNGE LA KATIBA HAITOSHI AFUNGASHE VIRAGO VYAKE
Dodoma. Wizara ya Fedha imepigilia msumari maombi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ya kutaka waongezewe posho na kusema anayeona ameacha kazi inayomlipa zaidi kwenda bungeni afungashe virago na...
View ArticleJE ULISHAWAHI KUWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU ALIYEKOSEA NUMBER YA SIMU?
Kwa kawaida binadamu tumekuwa tukiingia kwenye mahusiano ya kimapenzi katika mazingira tofauti tofauti mfano kwenye daladala,kwenye mkusanyiko wa sherehe,kwenye mazingira ya kutafuta elimu n.k.Nia na...
View ArticleMWEE...WADAU HIVI ZILE SHULE ZA VIPAJI MAALUMU BADO ZIPO ?
Enzi mie nasoma palikuwa na shule za vipaji maalumu yaani tulikuwa tunasoma ili tuingie shule kama Tabora Boys,Mzumbe,Kibaha,Ilboru na Kilakala enzi izo zilikuwa ni shule maalumu kwa wanafunzi wenye...
View ArticleSINTAH "NASHUKURU LE MUTUZ UMENISIKILIZA..ACHANA NA VINUKA MKOJO"
"Nashukuru umenisikiliza my ndugu Le Big show Le Mutuz nilikwambia na kila siku nikiongea na wewe nakwambia, achana na vinuka mkojo wa mitaani , unakaa na watu wasiongea mambo ya maana kuanzia asubuhi...
View ArticleMASOGANGE BORA UKATE MAONO KAMA HIVI KULIKO KUUZA SEMBE
Week hii Mitandaoni zimetawala picha za Agness Masogange Mitandaoni Akicheza jukwaani huku akionehsa kiuno chake kwa chati kwenye ufunguzi wa Pub Moja huko Dodoma Its Obvious Alilipwa kwa kufanya hivyo...
View ArticleMAPENZI YAPO WAPI SIKU HIZI? EMBU JIONEE MWENYWE HUYU ALIVYOPIGWA NA...
Her name is Gabriella. Says she's an aspiring Victoria Secret model and actress. Not sure where she's from though. Gabriella, via her instagram account @bambiiiii_ shared her recent sad experience of...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA WALTER CHILAMBO-MAVELA
Mshindi wa BSS wa Mwaka Juzi Walter Chilambo Ametoa Wimbo Mpya ...Embu Usikilize hapa Ukiupenda unaweza Udownload pia...
View ArticleKOCHA WA AL AHLY AICHAMBUA YANGA KAMA KARANGA
Dar es Salaam. Kocha Msaidizi wa Al Ahly, Ahmed Ayoub ameichambua Yanga kwa kusema ni timu bora katika kushambulia, lakini si nzuri kwenye safu ya ulinzi.Yanga itaivaa Al -Ahly Jumamosi hii katika...
View ArticleHIVI HAWA WATU WAPO DODOMA KUCHUKUA POSHO AMA KUANDIKA KATIBA?
Nina wasiwasi na uwakilishi wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ninajiuliza je, wataweza kutimiza jukumu walilopewa na Watanzania na Rais Jakaya Kikwete la kusimamia mchakato wa kupata...
View Article