Kwa Muonekano Yupi Hapa ni Mbunge Mrembo Kuliko Wote
Urembo na mvuto kwenye macho ya binadamu huwezi kuvitenganisha. Wakati kule mjengoni Dodoma wakiendelea kupika bajeti ya serikali ya mwaka 2014/15, Over the Weekend tunakuletea Shindano la Nani Mbungwe...
View ArticleMwigizaji Natasha Nae Hoi Kitandani Kwa Ugonjwa wa Dengue
STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengu (Dengue Fever).Akipiga stori na mwandishi wetu, Natasha alisema tangu Rais Jakaya...
View ArticleWolper Apiga Mweleka kwenye Kibao Kata.Gambe Zamzidi
Mbovumbovu za staa! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao kata cha mwigizaji mwenzake, Vanita Omary.Kwa mujibu...
View ArticleJada Pinkett Amtetea Mwanae 'Willow' Kufuatia Picha Tata Aliyopiga Akiwa...
Familia ya bwana na bibi Will Smith iliyojaa vipaji ilikubwa na kashfa hivi karibuni baada ya kusambaa kwenye Instagram na Tumblr picha ya Willow Smith akiwa kitandani na muigizaji wa kiume, Moises...
View ArticleLaana:Shoga la Kiume Lakata Mauno kuwazidi Hata Wasichana
Kweli Hakuna Ubishi Maadili siku hizi hayana adamu hata kidogo embu jionee huyu Kijana mdogo kabisa lakini ni shoga wa Kutupwa ...Hapa Anakata Kiuno mbele wa wasichana huku wakimshangilia ...Huku Pale...
View ArticleZitto Apata Shavu la Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika(Afropac) ili kuziba nafasi ambayo ilikuwa iikishikiliwa na nchi ya Msumbiji.Baada...
View ArticleKama Ulikuwa Unamchukulia Poa Diamond, Jipange Sana..Hii Ndio Gharama Yake
Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji yake hadi kumpandisha kupiga show moja si ya kitoto,...
View ArticleKubali Kataa:Ukiacha Skendo zake Uzuri wa Irene Uwoya ni wa Kumtoa Nyoka Pangoni
She is so Flying , Uzuri wake umepitiliza Mipaka, Hata nyoka aliejificha pangoni miaka mia anaweza toka kushuhudia .....Nani Anabisha hapa tuone?
View ArticleRay C Apigwa Dongo Baya Kwa Jinsi Alivyojichubua Usoni
Hali si shwari  baada yamtangazaji maarufu nchini kenya Joe Muchiri kuvamia instagram na kuweka comments mbaya kuhusiana na kujichubua kwa Ray C. Mtangazaji huyu maarufu wa Capital F.M aliandika hivi...
View ArticleWasanii 6 wa Kike Walivyokua Mwanzo Kabla ya Kuanza Kujichubua
Ukizungumzia mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini kwa hawa dada zetu wa kike waliamua kuongeza urembo...
View ArticlePicha:Boko Haramu Waonyesha Wasichana Waliowateka
Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyaraKiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo...
View ArticleMy Boyfriend Doesn't Have Money & I Need Money; Can I Dump Him?
I need to know if love can survive without money because in my situation I do not think so. I have a boyfriend that I love and he loves me too but he is broke and really jealous and possessive. We have...
View ArticleHermy B wa B-Hits Aamua Kutoa ya Moyoni Kuhusu Yaliyotokea B-Hits Mpaka...
Producer na CEO wa Bhitz Music Group, Hermy B ameandika barua ya wazi akielezea yaliyowahi kutokea Bhitz, uamuzi na mpango wao mpya.Hivi ndivyo alivyoandika Hermy B:Nikiwa kama CEO wa B’hitz Music...
View ArticleMbuyu Twite Asign Mkataba Mpya Yanga
Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga baada ya kufikia makubaliano na uongozi na kupata majibu ya...
View ArticleSifichi Hisia Zangu Nimempenda Kaka wa x Boy Wangu
Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks...
View ArticleSemenya, South Africa kuoa Hivi Karibuni
Caster Semenya, the South African athlete whose masculine looks and mannerisms caused a stir back in 2009 is set to wed.The Olympic silver medallist has set in motion events that will see her marry...
View ArticleMwigulu Amchana chana Lissu Hadharani
Leo Bungeni:Mwigulu Amesema anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha...
View ArticleNisha: Naona Aibu Kuangalia Filamu zangu za Komedi
Msanii wa sanaa za vichekesho nchini, Salma Jabu aka Nisha amesema huingia na aibu kutazama filamu zake za komedi kutokana na vituko anavyovifanya.Nisha anayetamba na filamu kama Pusi na...
View ArticleWema Achafua Hali ya Hewa..Picha aliyoweka ya Rommy Jons Akiwa na Kanzu Club...
Ni baada ya kupost picha akiwa na rafiki zake aunt Ezekiel na Rommy Jons club huku Rommy Jons akiwa amevaa vazi la kanzu ambalo wengi waliotoa maoni yao kua hilo vazi (kanzu) si mahali pake hapo na...
View Article