Lulu Amtuma Diamond Kwa Jestin Bierber, Ampe Salama Atakapo Enda Tuzo za BET
Hii ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye ramani ya Dunia,imekua ni good news kwa Tanzania na afrika mashariki kwa ujumla,baadhi ya mastar wa Tanzania wamekubali kutoa...
View ArticleTaarifa Kuhusu Kutangazwa Kwa Kocha Mpya wa Man Utd
Wiki kadhaa baada ya kumtimua kocha David Moyes klabu ya Manchester united wanakaribia kumtangaza kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis van Gaal kuwa meneja mpya wa timu hiyo.Mholanzi huyo tayari...
View ArticleJokate Awadadisha Wanafunzi wa Chuo Kikuu na Kivazi cha Kimini
Wakatu Mrembo Jokate akipita katika moja ya maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam,wanafunzi wa chuoni hapo walijikuta wakimtolea jicho na kumshangaa kutokana na kivazi cha mitego alichovaa,Huku...
View ArticleHatimaye Mbunge Vicky Kamata Kuolewa..Huyu Ndio Mchumba Wake
HAYAWI…hayawi sasa yamekuwa! Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata ikidaiwa kuwa...
View ArticleMtangazaji wa Clouds Awaponda Kundi la Weusi, Weusi Wamjibu
Ni mtangazaji anaye host show ya Xxl na Bongo fleva Adamu mchomvu aka Baba jonii ambaye aliamuwa kuwaponda weusi kwenye show ya Xxl.Baba jonii alitoa kauli kuwa hawajaitendea haki video yao ya GELE...
View ArticleDiva wa Clouds FM Awashukia Wote Wanao Sema Anajipendekeza kwa Wema Sepetu
Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo:Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa @wemasepetu ryt?! very good .. ndio mie kibaraka wake kwani do you...
View ArticleWaziri wa Nishati na Madini, Prof.Muhongo Akaliwa Kooni ang`oke!
Moto umeendelea kumbabua Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kutokana na tuhuma za kuwapendelea wageni na kuwakandamiza Watanzania.Waziri huyo amekuwa akilalamikiwa na Watanzania...
View ArticleNani Mkali Kwenye Kuigiza Riyama ally V/S Yvonne Cherry (Monalisa)
Unadhani kati ya mabinti hawa nani huwa anavaa uhusika halisi anapoigiza na anafaa kuvikwa taji la 'Bongo Movies Queen'.Riyama ally V/S Yvonne Cherry (Monalisa)
View ArticleNECTA Yabadilisha Viwango vya Ufaulu Form 6, DIV I Mwisho point 7
NECTA imetoa mwongozo wa matumizi ya viwango vya Ufaulu (Aprili 2014) ambao umesambwazwa katika shule zote ze sekondari kupitia kwa Maafisa Elimu wa Mikoa. Kwa mujibu wa mwongozo huo Madaraja ya ufaulu...
View ArticleRISPER FAITH decides to show it all ... Haters may collapse after seeing this.
RISPER FAITH decides to show it all ... Haters may collapse after seeing this.So S3DUCTIVE! Some new KILLER PHOTOs of bootylicious RISPER FAITH From Kenya…. Any Comments??????
View ArticleMtangazaji wa TV Apigwa Busu Adimu Kutoka kwa Wema Sepetu...Hakulala Siku hiyo
Wema sepetu pamoja na kua talk of the town kwa kutoka na mkali wa Bongoflava Diamond Platnumz , lakini hachoki kuonesha upendo pia kwa rafiki zake wa karibu. Baada ya kupiga picha huku akimbusu manager...
View ArticleWanaume Wananichukulia Tofauti na Nilivyo...Siko Hivyo Jamani
Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia...
View ArticleMme Wangu Anatembea na Rafiki Yangu
Jamani nisaidieni nifanyaje maana kila siku nakuta sms za mapenzi kwny simu ya mume wngu. Amemsevu rafiki yangu jina lingine baada kupiga simu nikagundua ni namba ya rafiki yangu kipenzi tena wa Karibu...
View ArticleLeo ni Birthday ya Mwigizaji Vicenti Kigosi ray, Johari Ampa Salamu Tata,...
Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa...
View ArticleLADIES:Mwenzenu Huyu Katumia Dawa za Kukuza Makalio, Oneni Zilivyomfanya
Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia...
View ArticleTundu Lisu na Muhaini Namba Moja!
Hayo yamesemwa na mbunge Mh Mwanahamisi, kutoka Z'bar, amesema kwamba, ameendelea kuleta uchochezi visiwani na kwamba endapo damu itamwagika huko Z'bar, basi mtu wa kwanza kushikwa atakuwa Tundu Lisu....
View ArticleWerema Kuomba Msamaha Pekee Hakutoshi, Aachie Ngazi!
Kuomba msamaha bungeni kwa Werema hakutoshi. Wadhifa alionao ni mkubwa sana kiasi ambacho kuomba kwake msamaha ni kama "machozi ya mamba" analia huku anakumeza.Watanzania kwa kauli hiyo ya Werema...
View ArticleLupita Nyong’o Spotted Romancing With Boyfriend
So finally Lupita has stopped being shy on the boyfriend issue. Our Kenyan girl has been keeping her private light out of the lime light but it seems that everything done in darkness has a way of...
View ArticleBreaking News:Milipuko Mingine ya Mabomu Yatokea Kenya Soko la Gikomba
Nairobi, Kenya: Multiple explosions have been reported in the vicinity of Gikomba market, Nairobi. The National Disaster Operations Centre reports four fatalities and "several injured." According to...
View ArticleBaadhi ya Picha Kutoka Katika Tukio la Milipuko ya Bomu Huko Nairobi
At least 10 people have been confirmed dead after multiple blasts in Gikomba Market on Friday.Initial reports indicate that the first blast went off inside a 14-seater matatu while the second...
View Article